Inawezekana kweli daraja la Dar na Zanzbar kuwepo

Madafu mbona pwani yamejaa
Labda kufata devices za umeme ndio nasikia ni cheap ila hiyo project inahitaji kichwa kama Magufuli waliobaki sidhani
Watu kama samia au Lukas Mwashambwa hii akili hawana mkuu.
Ila miaka ya baadae (hata miaka 200 ijayo) ambapo Teknolojia na uhandisi kwa ujumla utakuwa umeendelea huenda daraja litajengwa, au kitu kingine zaidi ya tunavyofikiria sasa.
 
Tuna MATATIZO mengi sana . Halafu hua mnatutenga KWANINI msijenge KWENDA kwa NDUGU zenu PEMBA mmekazana dar dar ilihali mwawatenga wakina zanzibar jengeni KWENDA pemba
 
Unguja na Pemba yote ni Zanzibar Sheikh
 
The shortest distance between the two is 40km
 
Watu kama samia au Lukas Mwashambwa hii akili hawana mkuu.
Ila miaka ya baadae (hata miaka 200 ijayo) ambapo Teknolojia na uhandisi kwa ujumla utakuwa umeendelea huenda daraja litajengwa, au kitu kingine zaidi ya tunavyofikiria sasa.
Miaka hiyo hata Tanzania haitakuwepo na tech itakuwa imebadirika huenda kukawa na mabawa ya kununua safari za Zanzibar mtu unapaa mwenyewe
 
Nakubliana na wewe mkuu.
Teknolojia iko kasi sana. Miaka 200 baadae (mwaka 2225) lolòte linawezekana kutokea kwenye Teknolojia
 
Tunnel Bara - Zanzibar ni bajeti ya mwaka nzima ya Serikali ya watumwa wote wa Tanganyika na Zanzuberi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…