johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kweli KabisaMe naona tunahitaji FIKRA MPYA ZENYE MAONO CHANYA, kwa fikra hz hz zilizo vichwani mwa waTZ hata tukiletewa katiba ya aina gani mambo ni yale yale
Kama katiba haina kifungu kinachosema "rais hayuko juu ya sheria", basi hauwezi kumfanya lolote, sisi pia rais yuko juu sheria hivyo hauwezi kumshitaki.Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la
Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga
Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu Wachache sana hivyo Yeye anawasikiliza Wananchi walio Wengi
Nadhani kwa Africa Rais ndio kila Kitu mambo ya Katiba ni formality tu
Happy New Year π
Tuone kama watafanikiwa na hilo libaba laoππ....(Muungano wa upinzani, Azimio la Umoja, tayari wameanza shughuli ya kuokota saini hizo kote nchini.),,,
Kwahiyo tunahitaji katiba mpya ili tumshtaki Rais?Kama katiba haina kifungu kinachosema "rais hayuko juu ya sheria", basi hauwezi kumfanya lolote, sisi pia rais yuko juu sheria hivyo hauwezi kumshitaki.
Hoja yangu imejikita kwenye kilichotokea Kenya baada ya rais kugoma, hilo la Tanzania ni mfano wa nyongeza tu.Kwahiyo tunahitaji katiba mpya ili tumshtaki Rais?
Inchi ngumu hii.
La kumfanya lipo, kenya siyo waoga wataingia barabarani na anaweza akawa forced kujiuzulu!Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la
Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga
Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu Wachache sana hivyo Yeye anawasikiliza Wananchi walio Wengi
Nadhani kwa Africa Rais ndio kila Kitu mambo ya Katiba ni formality tu
Happy New Year π
Lakini amesema katiba hiyo hiyo ndiyo iliyomuweka madarakani. Sasa kama yeye kapatikana kwa mujibu wa katiba kwanini hataki kuitii?Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la
Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga
Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu Wachache sana hivyo Yeye anawasikiliza Wananchi walio Wengi
Nadhani kwa Africa Rais ndio kila Kitu mambo ya Katiba ni formality tu
Happy New Year [emoji1]
Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la
Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga
Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu Wachache sana hivyo Yeye anawasikiliza Wananchi walio Wengi
Nadhani kwa Africa Rais ndio kila Kitu mambo ya Katiba ni formality tu
Happy New Year π
Nadhani wenzako hawa na watanzania walio wengi wanahitaji kuhamasishwa kwanza na kuelimishwa, kuhusu katiba. Ili wajue katiba ni nini haswa, kabla ya hatua zozote zingine.Kwahiyo tunahitaji katiba mpya ili tumshtaki Rais?
Inchi ngumu hii.
The good thing, ni kwamba, anaweza kushitqkiwa, na, kufungwa, au, kuondolewa madarakani na wananchi bila kupitia sanduku la kura,Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la