Inawezekana kweli?

Hata mie pamoja na kuwa member humu since 2010 sina nimjuae na hainipi shida yoyote......

-Domhome-
 
Mkuu..
Mbona minakujua, tulisha kutana pale Kasudeco na tukapanga mipango ya hela. Na mara ya pili tulisha kutana mitaa ya Mlimani karibu na ofisi za BTC
 
Mi humu natamani kukutana na mtu mmoja tu, ila alinikwaza namchukia mkweli ila nitafanya juu chini nimuone anafananaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…