Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna naambiwa cwez kustart conversation n u... Tatzo nn? Au ww premium nnKaribu
Hata mie pamoja na kuwa member humu since 2010 sina nimjuae na hainipi shida yoyote......Umu JF, inaonekana members wote washawah kukutana ana kwa ana n wakafahamiana, icpokua mimi tu ndo cjawah kukutana wala kuonana n member ata m1 umu....
Hii inawezekana kweli niwe mimi tu?
Au kuna wengine walio kam mm pia....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aminia mkuu!Hata mie pamoja na kuwa member humu since 2010 sina nimjuae na hainipi shida yoyote......
-Domhome-
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Njoo arusha bas unione
coz maninja ni wachachesisi tulioweka avatar za ukweli ni kwa nini sijapata mtu akaniambia ameshawahi kuniona sehemu?
ndioo!
sawa mkuu
Aaaaahhh kasudeko nayoijua mie apa ksl? Kesho tuonane mkuuMkuu..
Mbona minakujua, tulisha kutana pale Kasudeco na tukapanga mipango ya hela. Na mara ya pili tulisha kutana mitaa ya Mlimani karibu na ofisi za BTC
Unakimbia wap?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hua napenda mwanamke mvaa miwani big up uko vizuriWengi tu umekutana nao ila hujui kama wako humu, mimi situmii vitu feki, id na avatar ni mimi
Sent using Jamii Forums mobile app