Inawezekana kweli?

Inawezekana kweli?

Umu JF, inaonekana members wote washawah kukutana ana kwa ana n wakafahamiana, icpokua mimi tu ndo cjawah kukutana wala kuonana n member ata m1 umu....

Hii inawezekana kweli niwe mimi tu?

Au kuna wengine walio kam mm pia....


Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie pamoja na kuwa member humu since 2010 sina nimjuae na hainipi shida yoyote......

-Domhome-
 
Mkuu..
Mbona minakujua, tulisha kutana pale Kasudeco na tukapanga mipango ya hela. Na mara ya pili tulisha kutana mitaa ya Mlimani karibu na ofisi za BTC
 
Mi humu natamani kukutana na mtu mmoja tu, ila alinikwaza namchukia mkweli ila nitafanya juu chini nimuone anafananaje
 
Back
Top Bottom