Inawezekana makamanda wa Chadema waliohamia CCM ni magarasa na turufu bado zimebaki Ufipa maana bado wanaonyesha Ufundi!

Hii plan failure ya jiwes and company, badala ya kuuwa umasikini eti yuko bize kuuwa upinzani.
 
Hizi ni akili zako za kijinga hakuna hata mtu wa kusupport ujinga Kama huu. Hata viongozi wa Chadema wanaakili ya kujitambua ndiyo maana hawawazi unachowaza wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
unapenda vita sheik kukunja ngumi unaweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swadakta umenena vema kabisa.
 
Kiuhalisia, ukichunguza sana, wabunge na madiwani walionunuliwa na CCM, hawakuwa na umaarufu wowote bali wao waliupata umaarufu kwa sababu walikuwa CHADEMA.

Ni CHADEMA ndiyo iliyowafanya wawe wabunge au madiwani. Ukitaka kuhakikisha hilo, subiria October, ndiyo utajua. Wengi ndio utakuwa mwisho wao kisiasa, na hawatasikiaka tena.
 
Kiongozi gani ana muda huo? Arusha waliouawa ni wafuasi tu. Hajukuwa na kiongozi hata mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…