Inawezekana mfumuko wa bei Tanzania ni wa kutisha, idara ya Takwimu wametupiga chenga ya mwili kwa takwimu za Januari, ila nimewagundua

Inawezekana mfumuko wa bei Tanzania ni wa kutisha, idara ya Takwimu wametupiga chenga ya mwili kwa takwimu za Januari, ila nimewagundua

Kama ni hivi tutaona mengi sana.. maana kila mahali wanaongopa data.. Ndo ile unaambia uchumi unakuwa halafu life bado lipo tight
Hongera kwa jicho lako la utambuzi, yote haya ni kwa sababu ya hofu, kila mtu hataki kumkwaza bwana yule, wanaishi naye kama unavyoishi na mtoto anaye deka.
 
Magu hataki kusikia habari ya mfumuko wa bei na watakwimu wanamridhisha kwa takwimu za kupikwa
Bati imepanda na kufikia 27000_mwezi huu
Umeona sasa.. data zao na huku ground mambo yapo tofauti sana.. hususani hicho ulichosema kuhusu bei ya bati
 
Market Basket inabadilika kila mwaka kwenye kupima inflation ndio utamaduni huo.

Pili suppose kweli inflation ni kubwa zaidi ya serikari inavyotangaza, iwapo level za supply and demand ni zilezile maana yake kuna hela nyingi kwenye mzunguko wa fedha.

Sera unazohitaji ni more taxation kwenye bidhaa zilizopanda sana ili watu wapunguze matumizi au kuongeza interest za mabenki ili watu wapunguze kukopa, kuzalisha na kutumia.

Ata pale serikali isipoingilia maswala ya interest ili watu wasikope bado kama inflation is uncontrollable una halalisha lenders kutokupunguza interest za mikopo kwa madai ya kwamba thamani ya fedha sio stable so they have to consider Net Present Value ya miaka ijayo mkopaji anapolipa. Swala ambalo linachangia interest za mikopo zibaki 15-20% na kufanya bidhaa zinazo zalishwa Tanzania kuwa na bei kubwa sikoni kutokana na gharama za uzalishaji.

Consider poor purchasing power ya watanzania ndio maana watu wana import hayo ndio matatizo mnayolilia serikali ikichukua hatua, kama mtoto alielia mbwa mwitu, sio kila kitu kupinga tu.
Usiwe mwepesi wa kuandika halafu ukawa mvivu wa kusoma.

1. Unaanza kwa kusema eti market basket inabadilika kila mwaka wakati nimekuonesha data za kuanzia January 2018 ambapo ilikuwa sawa mpaka December 2020.. soma ndo ujibu usikurupuke

2. Inflation kwa developing countries kama Tanzania inasababishwa zaidi na supply side factor na sio monetary phenomena kama unavojaribu kusema.. kwa hiyo kama kuna inflation Tanzania usidhanie supply ya pesa itakuwa ni kubwa kwenye uchumi... Kwa kukusaidia, money supply growth ipo chini sana sasahivi kuliko kipindi kingine chochote ndani ya miaka kumi iliyopita.

3. Sijaongea mambo ya more Taxation.. elewa hoja ndo uandike acha kukurupuka.

4. Poor purchasing power haisababishi watu wa import zaidi..

Kijana naona kichwani umeweka theory nyingi mbovu za uchumi.. kuwa mtulivu ujifunze uchumi utauolewa.

Ila ukiendelea kuandika kwa sababu tu una bando.. my friend utapotea sana
 
I choose to ignore you after this post nisiharibu uzi wako.

What will happen kama serikali isipoweka limitations za import quotas kwenye mafuta ya kupikia, sukari na sehemu zingine ambazo wazalishaji wandani wanalindwa kwanza. Na kwanini baadhi ya bidhaa sokoni serikali inapanga price floor kwa kuzingatia production cost za wazalishaji wa ndani.

Ndugu gharama za kuzalisha Tanzania zipo juu na hiko ndio kinavutia imports ya products nyingi, umeshaona kodi za imported finished goods na bado maduka yamejaza bidhaa zinazozalishwa nje? Kwanini hao waagizaji wasianzishe viwanda? Mbona imported agricultural products zinazotumika viwandani hakuna kodi?

Kubishana na kiazi kama wewe kuhusu uchumi I can see from the start ni kupoteza muda wangu, market basket inachaguliwa na serikali and it is never constant after a few years it usually changes; you should know that as you claim to be an economist.
 
Ni kwamba wanajidanganya tu kwa sababu kwa bahati mbaya sana ni kwamba masuala ya uchumi huwa hayaishii tu kwenye makaratasi bali huwa reflected kwenye maisha halisi huku mtaani.

Yaani kama wanadanganya kwenye makaratasi kuwa mfumko wa bei ni sifuri watashangaa kuna siku watu wapo barabarani kwa sabu chumvi pakiti moja imekuwa TZS 10,000/= na sukari kilo moja imekuwa TZS 50,000/=!Ni punguani peke yake ndiye anaweza kupoteza muda wake kudanganya masuala ya uchumi kwenye karatasi kwa sababu masuala haya hayaishii tu kwenye karatasi.
 
Usiwe mwepesi wa kuandika halafu ukawa mvivu wa kusoma.

1. Unaanza kwa kusema eti market basket inabadilika kila mwaka wakati nimekuonesha data za kuanzia January 2018 ambapo ilikuwa sawa mpaka December 2020.. soma ndo ujibu usikurupuke

2. Inflation kwa developing countries kama Tanzania inasababishwa zaidi na supply side factor na sio monetary phenomena kama unavojaribu kusema.. kwa hiyo kama kuna inflation Tanzania usidhanie supply ya pesa itakuwa ni kubwa kwenye uchumi... Kwa kukusaidia, money supply growth ipo chini sana sasahivi kuliko kipindi kingine chochote ndani ya miaka kumi iliyopita.

3. Sijaongea mambo ya more Taxation.. elewa hoja ndo uandike acha kukurupuka.

4. Poor purchasing power haisababishi watu wa import zaidi..

Kijana naona kichwani umeweka theory nyingi mbovu za uchumi.. kuwa mtulivu ujifunze uchumi utauolewa.

Ila ukiendelea kuandika kwa sababu tu una bando.. my friend utapotea sana
mbona una hasira hivi!!!

ni mfumuko wa bei au una mengine mkuu??
 
Nchi hii inaongozwa na waongo sana Kama corona tunaambiwa haipo na inaua watu watashindwaje kudanganya kuhusu mfumuko wa bei
 
Magu hataki kusikia habari ya mfumuko wa bei na watakwimu wanamridhisha kwa takwimu za kupikwa
Bati imepanda na kufikia 27000_mwezi huu
swali ni moja yananunulika au yameganda store!!!

maana ukiona bidhaa inapanda bei,kuna factor nyingi, lakini kubwa kuliko zote, ni uzalishaji hautosherezi mahitaji.
 
Nimekusoma na kukuelewa. Nasubiri waje watupe majibu ya hizo mambo ulizowaachia.
Huwa hawajibu hoja,wataanza Ku attack personality ya mtoa mada.Ndivyo walivyoelekezwa,kupotosha ukweli na kuaminisha Watanzania kwamba wapo salama chini ya CCM.
Ile CCM ya enzi za Mwl.Nyerere ambapo kusema kweli daima ilikuwa moja ya Imani zake imefwariki ndiyo maana tunashuhudia Intarahamwe's doing.
 
Usiwe mwepesi wa kuandika halafu ukawa mvivu wa kusoma.

1. Unaanza kwa kusema eti market basket inabadilika kila mwaka wakati nimekuonesha data za kuanzia January 2018 ambapo ilikuwa sawa mpaka December 2020.. soma ndo ujibu usikurupuke

2. Inflation kwa developing countries kama Tanzania inasababishwa zaidi na supply side factor na sio monetary phenomena kama unavojaribu kusema.. kwa hiyo kama kuna inflation Tanzania usidhanie supply ya pesa itakuwa ni kubwa kwenye uchumi... Kwa kukusaidia, money supply growth ipo chini sana sasahivi kuliko kipindi kingine chochote ndani ya miaka kumi iliyopita.

3. Sijaongea mambo ya more Taxation.. elewa hoja ndo uandike acha kukurupuka.

4. Poor purchasing power haisababishi watu wa import zaidi..

Kijana naona kichwani umeweka theory nyingi mbovu za uchumi.. kuwa mtulivu ujifunze uchumi utauolewa.

Ila ukiendelea kuandika kwa sababu tu una bando.. my friend utapotea sana
Na mimi nimeshangaa japo taaluma yangu sio mchumi lakini hapo aliposema kuna Money supply kubwa nimeshangaa sana how? Kama serikali ndiye main distributor na fedha yake kwa asilimia kubwa inaenda kwa International Contractors na sisi tunabaki na kiduchu, Pesa imeongezekaje? Awamu hii ni kubana Matumizi tu pesa imeongezekaje?

hoja ya kusema watu wana Purchasing power ndogo ndo maana tuna import sana nayo ina ukakasi kidogo, japo vitu vya nje vinaweza kuwa bei nafuu lakini hiyo purchasing power ndogo inawezaje ku cover kupata fedha za kigeni sasa?
 
I choose to ignore you after this post nisiharibu uzi wako.

What will happen kama serikali isipoweka limitations za import quotas kwenye mafuta ya kupikia, sukari na sehemu zingine ambazo wazalishaji wandani wanalindwa kwanza. Na kwanini baadhi ya bidhaa sokoni serikali inapanga price floor kwa kuzingatia production cost za wazalishaji wa ndani.

Ndugu gharama za kuzalisha Tanzania zipo juu na hiko ndio kinavutia imports ya products nyingi, umeshaona kodi za imported finished goods na bado maduka yamejaza bidhaa zinazozalishwa nje? Kwanini hao waagizaji wasianzishe viwanda? Mbona imported agricultural products zinazotumika viwandani hakuna kodi?

Kubishana na kiazi kama wewe kuhusu uchumi I can see from the start ni kupoteza muda wangu, market basket inachaguliwa na serikali and it is never constant after a few years it usually changes; you should know that as you claim to be an economist.
Ni bora u choose kuni ignore.. maana unaongelea mambo ambayo yapo nje ya mada kabisa.. Na mimi huwa sipendi kubishana na watu wanacheza nje ya key!

Unaanza kuongelea sijui import quotas kwenye mafuta na sukari.. sijui price floor.. mi mada yangu wala haipo huko.. nilidhani utasema rationale ya kuongezeka kwa bidhaa kwenye basket lakini naona unajaribu kuongea jargons za kiuchumi kwa kudhani kwamba ndo utaonekana unajua!!!!

Stick kwenye point.. na useme hoja yako ikajulikana acha papara..

Halafu unaanza kuzungumzia masuala ya kodi na bla bla nyingine..

Jenga hoja ya kitu unachotaka kuzungumza vinginevo utaonekana mkurupukaji..
 
Na mimi nimeshangaa japo taaluma yangu sio mchumi lakini hapo aliposema kuna Money supply kubwa nimeshangaa sana how? Kama serikali ndiye main distributor na fedha yake kwa asilimia kubwa inaenda kwa International Contractors na sisi tunabaki na kiduchu, Pesa imeongezekaje? Awamu hii ni kubana Matumizi tu pesa imeongezekaje?

hoja ya kusema watu wana Purchasing power ndogo ndo maana tuna import sana nayo ina ukakasi kidogo, japo vitu vya nje vinaweza kuwa bei nafuu lakini hiyo purchasing power ndogo inawezaje ku cover kupata fedha za kigeni sasa?
Huyo jamaa ni mkurupukaji wa uchumi wa kati.. anaongea mambo hayaeleweki halafu anaweka jargons za kiuchumi anadhani ndo ataonekana anafahamu sana..
 
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kitakwimu nimeyagundua kwenye report ya mfumuko wa bei ya mwezi January, ambayo inasema kwamba mfumuko wa bei kwa miezi 12 iliyopita mpaka mwisho wa mwezi January 2021 ni asilimia 3.5 tu!.

Niliangalia hii report ilivotoka wiki iliyopita, lakini sikuelewa inakuwaje mfumuko wa bei umekuwa kwa kiasi kidogo sana (kwa asilimia 0.3% kutoka data za mwezi December 2020 ambazo zinasema mfumuko ulikuwa ni 3.2%) wakati hali ilivo huku mtaani ni kwamba tumeshuhudia ongezeko kubwa sana la bidhaa muhimu hususani bidhaa za chakula ambazo kimsingi zinazochukua sehemu kubwa wakati wa ukadiriaji wa mfumuko wa bei.

Wakati najiuliza maswali ya nini kimetokea, leo nikabahatika tena kupitia takwimu ya mfumuko wa bei kwa mwezi January na kwa bahati macho yakatua kwenye ‘Basket of commodities’ ambayo wanasema imeongezeka kutoka bidhaa 278 walizokuwa wakitumia mpaka bidhaa na huduma 383 ikiwa ni ongezeko la bidhaa 105 ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. Mbali na hiyo wameongeza pia idadi ya mikoa kutoka 25 mpaka 26 wakijumuisha na mkoa wa Songwe.

View attachment 1703364

Jan-18
Jan-20
Feb-20
Mar-20
Apr-20
May-20
Jun-20
Jul-20
Aug-20
Sep-20
Oct-20
Nov-20
Dec-20
Jan-21
Basket of commodities (goods and services)
278
278​
278​
278​
278​
278​
278​
278​
278​
278​
278​
278​
278​
383
Number of regions covered
25
25​
25​
25​
25​
25​
25​
25​
25​
25​
25​
25​
25​
26
Inflation last 12 months in %
3.7​
3.7​
3.4​
3.3​
3.2​
3.2​
3.3​
3.3​
3.1​
3.1​
3.0​
3.2​
3.5​

Mabadiliko haya yanatuambia nini?

Kuna kitu kingine pia kimebadilika ambacho kimenifanya niongeze mashaka na hizi takwimu kwamba kuna ukweli fulani ambao unafichwa kwamba yawezekana mfumuko wa bei unazidi kuwa mkali siku hadi siku. Na kikubwa kinachotia mashaka ni mabadiliko haya makubwa yaliyotokea kwenye calculation nzima ya mfumuko wa bei tena ndani ya kipindi cha mwezi mmoja tu.

Angalia kwa makini tofauti iliyopo kwenye weights za mwezi January 2021 na zile za kuanzia January 2018 mpaka December 2020 ambazo zipo sawa.

Weights in %
S/nItems for January 2018 and December 2020
Jan-18
Dec-20
Jan-21
Change Dec-20 to Jan-21
1​
Food and Non-Alcoholic Beverages
38.5​
38.5​
28.2​
-10.3​
2​
Alcoholic and Tobacco
3.7​
3.7​
1.9​
-1.8​
3​
Clothing and Footwear
8.3​
8.3​
10.8​
2.5​
4​
Housing, Water, Electricity, Gas, and Other Fuel
11.6​
11.6​
15.1​
3.5​
5​
Furnishing, Housing Equipment and Routine Maintenance of the House
6.3​
6.3​
7.9​
1.6​
6​
Health
2.9​
2.9​
2.5​
-0.4​
7​
Transport
12.5​
12.5​
14.1​
1.6​
8​
Information and Communication
5.6​
5.6​
5.4​
-0.2​
9​
Recreation and Culture
1.6​
1.6​
1.6​
0.0​
10​
Education
1.5​
1.5​
2.0​
0.5​
11​
Restaurants and hotels
4.2​
4.2​
6.6​
2.4​
12​
Miscellaneous goods and services
3.1​
3.1​
2.1​
-1.0​
13​
Insurance and financial services - Added for January 2021 Indexn/an/a
2.1​
2.1​
Total weight
99.8
99.8
98.2

Key weight movements

  • Reduced weight on food and Non-Alcoholic by 10.3%
  • Increase weight on Clothing and Foot wear by 2.5%
  • Increase weight on Housing, Water, Electricity, Gas, and Other Fuel by 3.5%
  • Increase weight on Transport by 1.6%
  • Increase weight on restaurant and hotels by 2.4%
  • Increase weight on furnishing, Housing Equipment by 1.6%

Tafsiri ya kubadilisha uzito kwenye kapu (Implication of weight changes)

  • Wamepunguza weight ya basket ya chakula na vinywaji (food and non-alcoholic beverages) kutoka 38.5 mpaka 28.2, madhara ya kupunguza weight kwenye kapu la chakula na vinywaji ni kwamba, inapunguza impact kwenye mahesabu ya mfumuko wa bei inapotokea bei za bidhaa za chakula kwa mfano kama ilivo mafuta ya kupika yalivopanda bei kwa sasa hivi, inakuwa ni ngumu kuona mfumuko wa bei unapanda kwa sababu weight ya bidhaa za chakula imeshushwa. Kwa kufanya hivi pekee, wameondoa uhalisia kabisa wa consumption pattern ya watanzania, kwa sababu, hata kimahesabu ya kawaida, kwa mtanzania wa kawaida, anatumia karibu Zaidi ya asilimia 40% mpaka 45% ya kipato chake kwenye kununua chakula na vinywaji. Sasa unavoshusha weight ya chakula kutoka 38.5% mpaka 28.2% maana yake ni kwamba unaona kabisa kwamba, takwimu za mfumuko wa bei zitapoteza uwezo wa kuakisi gharama za maisha ya raia waliowengi wa kipato cha chini na cha kati.
  • Wameongeza weight au uzito na umuhimu kwenye makundi ya bidhaa ambazo bei zimekua hazina mabadiliko kwa mda mrefu kwa sababu ya mwenendo mzima wa uchumi, hususani kwenye sekta ya malazi hoteli na migahawa, shule, na mavazi ambazo weight imeongezeka kwa kiasi kikubwa.
  • Maana ya kupunguza uzito kwa makundi ya bidhaa za chakula na vinywaji ambazo ndizo zinazonunuliwa kwa wingi na wananchi na ambazo pia bei zimekuwa zipo volatile sana na kuamua kuongeza weight kwenye makundi ya bidhaa ambazo bei zake zipo stagnant na hazihitajiki sana sana na raia kuliko vyakula, ni kwamba inapelekea pia kupunguza mfumuko wa bei ki takwimu. (It’s a highest professional manipulation ambayo naweza kusema imefanyika, na mbaya Zaidi hakuna ufafanuzi wowote umetolewa.)

Ombi kwa Idara ya taifa ya takwimu.

  • Watueleza na watueleweshe sababu haswa zilizopelekea mabadiliko yote waliyofanya ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kwenye mahesabu yao ya makadirio ya mfumuko wa bei kwa mwezi January ambayo yalikuwa na mabadiliko yafuatayo 1) Kuongeza kapu la bidhaa kutoka bidhaa 278 mpaka bidhaa 383, 2) Ni kwanini waongeze idadi ya mikoa sasa, kutoka 25 mpaka 26, na 3) Ni kwanini wameamua kufanya mabadiliko makubwa ya weight kwenye bidhaa za vyakula ambayo kimantiki imeharibu kabisa uhalisia wa expenditure pattern ya mtanzania wa kipato cha chini na kati.
  • Watupe taarifa sahihi ya mfumuko wa bei kwa mwezi January kwa kutumia parameters ambazo zimakuwa zikitumika hapo mwanzo.
  • Wasijaribu tena kutuficha, maana watanzania tupo makini na tunafuatilia kwa karibu nchi inavokwenda, watoke wazi na watueleze kilichotokea, kama mfumuko wa bei upo 6% watoke na watueleza ukweli. Namba huwa hazidanganyi, wakijaribu ku manipulate data kama wanavojaribu kufanya, tutaona tu impact kwenye variable nyingine za kiuchumi. Watatuficha mpaka lini?

Wasalaam,

N. Mushi

Mtetezi wa wanyonge
Hakuna adui mkubwa wa watawala sasa hivi kama TAKWIMU SAHIHI.

Hebu jaribu hata kufanya utafiti wa kiwango cha ukosefu wa ajira Tanzania uone kama utatoka salama.
 
swali ni moja yananunulika au yameganda store!!!

maana ukiona bidhaa inapanda bei,kuna factor nyingi, lakini kubwa kuliko zote, ni uzalishaji hautosherezi mahitaji.
Sasa hicho unachokisema kwamba bei inapanda .. ndo kinatakiwa kiwe reflected kwenye inflation na sio serikali kujarivu kuficha ukweli...
 
Hakuna adui mkubwa wa watawala sasa hivi kama TAKWIMU SAHIHI.

Hebu jaribu hata kufanya utafiti wa kiwango cha ukosefu wa ajira Tanzania uone kama utatoka salama.
Hilo la ajira ndo bomu...
 
Hilo la ajira ndo bomu...
Yaani sasa hivi amani yao ni ukimya wa matatizo kama hivi.

Case study check Corona, as long as haitangazwi wala hawapimi wana assume haipo.

Style za kufukia kichwa cha mbuni ardhini wakati kichwa chote kiko nje
 
Wameona food inflation inawaumbua.. na vile weight yake ni kubwa impact yake pia kwenye inflation ni kubwa.. kwa hiyo itakuwa wamepunguza weight yake ili kuhakikisha inflation hairuki kwenda popote
Inflation ni pana sana, Hakuna anaeweza kucheza na asili yake. Serikali inacheza na namba kuaminisha raia hakuna ongezeko la Inflation

Bahati mbaya au Nzuri watanzania wengi hatupewi knowledge kuhusu maswala ya uchumi, tungekua nayo wengi wangeshtuka na kuishukia serikali kama mataifa yaliyoendelea lakini tumeamriwa kusoma historia ya Tanzania may be itatusaidia kupunguza inflation 😢
 
Back
Top Bottom