Inawezekana mume wa zamani wa Diva anampiga vyombo ndio maana mambo yanamuandama?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala SegereMatata?

Ukiangalia insta page yake, na hata watumishi wenzake, ni kama jamii inampigia yowe. Possibly jamaa kalifinyanga jina la Diva na samadi mbichi ya binadamu, mtu akipita ni yowe la nzi tu
 
Nasubiri confirmation ya hili Kwa pupa.
 
Kuna sista angu aliolewa na mganga, siku waliyoachana siku 3 mbele home ikapiga shoti ya umeme na tv ikaungua. Hapo tukaanza kupelekwa mahakaman kwa kesi ya mpaka wa kiwanja na tukashindwa, tukalipa laki 5
 
Kuna sista angu aliolewa na mganga, siku waliyoachana siku 3 mbele home ikapiga shoti ya umeme na tv ikaungua. Hapo tukaanza kupelekwa mahakaman kwa kesi ya mpaka wa kiwanja na tukashindwa, tukalipa laki 5
Sasa na nyie kabisaa mnakaa kupokea mahali toka kwa mganga wa kienyeji mumpe dada yenu sangoma kweli????.
Hamkua serious
 
Ndio nani huyo huko Dar?!
 
Diva si amefariki au nachanganya mafaili hapa?
 
Ukisha miliki nguo ya ndani ya mtu unaweza kumfanya utakavyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…