Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Nikataka kumtwanga mapanga. Nimeamka kichwa kinaniuma tukaitisha kikao na mzee tukamuweka chini, na hasira nilizokuwa nazo haikupita hata nusu saa kikao hakijaisha nikazama ndani nikatukana sana nikasema natoa dakika tano huyu "kum×" aondoke hapaSo ngoma ikaishaje,au na nyie mlianza kumrushia makombora?