Inawezekana nikawa katika top 10 wa member wa JF wenye elimu kubwa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa jf wenye elimu kubwa
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora tz na duniani kwa ujumla.
Ktk dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
ok. :1Head:
 
Hatukatai mkuu. Ila una hela?! Kama huna hela futa hii sledi pendwa
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa jf wenye elimu ya juu
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora tz na duniani kwa ujumla.
Ktk dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Unaijua University of Tumbuktu
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa jf wenye elimu ya juu
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora tz na duniani kwa ujumla.
Ktk dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Lakini elimu ya mtaa wee ni kilaza au sio
 
Back
Top Bottom