Inawezekana nikawa katika top 10 wa member wa JF wenye elimu kubwa

downloadfile-47.jpg
 
Hapa ni wewe ndo tunajadili, huyo prof kaingiaje tena hapa?
Umeshangaa nimekaa madrasa miaka 20 halafu nikawa na elimu ya juu? Nikakupa mfano huo, kwamba jambo hilo linawezekana. Maprof wengi wa kiislam pia ktk dini wamepiga magoti miaka mingi
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Toa ujinga wako hapa.

Unawaabisha kobazi wenzako.

Wewe kweli mbu jike😄😄😄
 
Una maana elimu ya vyeti au?
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
 
Mnataka muanzishe uzi unaohusu ubaguzi wa elimu. Kwanza umewaza nini hadi ukaamua ulete uzi wa ajabu hivi? Ni kwamba elimu yako haijakupa contents za kutuelimisha sisi wakimbia umande?? Mm nadhani kipimo cha elimu kubwa ni pa1 na contents unazoongea mbele za watu! Sawa ngoja nikae kimya mana sikukatazwa kusoma!
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu

Huwezi kuwa na elimu sheikh wangu. Huna kitu labda chuo ulichosoma ni chuo kama hicho chuo au madrasa. Huna elimu dogo. Wewe ni kichwa nazi kama vichwa nazi wengine wa aina yako.
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Elimu zipo nyingi hata elimu potovu pia ni elimu ...tunachopima je elimu yako ni nuru au giza ...sasa wewe mpuuzi umeshindwa hadi sasa kutambua kuwa mudi boy na msahafu ni upotovu ..hiyo elimu yake imekupofusha .
 
Back
Top Bottom