cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Umemalizana na ya Nifa?
nani next?
Je, ulikuwa una soma late Warumi humu?
nani next?
Je, ulikuwa una soma late Warumi humu?
Ntakubembeleza taaratibu utaelewa😆Na uzee huu nitajifunza kweli?
Halafu Mimi ni kobogoyo, maneno mengine ya kimombo yatanishinda.Ntakubembeleza taaratibu utaelewa😆
;-)Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Mwanetu.
Nitakuletea Dentures😆Halafu Mimi ni kobogoyo, maneno mengine ya kimombo yatanishinda.
Labda elimu ahelaEndapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu