Inawezekana nikawa katika top 10 wa member wa JF wenye elimu kubwa

Huyu sio wa kumjibu chochote
anatakiwa kujibiwa.
Ametuona sisi mandezi.
Kuhusu University, nimesoma top university Tanzania. Sijasoma St?
umesema ni top University sio top universities.
Means ni chuo kimoja.

Na Kama ni Degree ndio unasemea elimu kubwa na kuwa top 10 ya member wa JF.

Umetudharau sana mwanetu.
Saana saana.
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
So?
 
Kitaa tunasema bila hela ni sifuri kama sifuri.
 
Katika kitu kilichopitwa na wakati na waafrica wengi bado hawakijui na wameingia mkenge ni elimu ya mzungu. Hiyo unayolingia kwamba umesoma sana. Elimu ya mzungu unayolingia ndio ujinga wa kwanza kabisa tumebagazwa waafrica.

Mzungu alivyofika Africa waligundua waafrica wana akili nyingi na wana rasilimali nyingi sana. Wakaungana wakaplan mbinu za kututawala milele. Ndio wakaleta dini ili dini ikufanye uwe mnyenyekevu na iwe rahisi kukuingia na kukutawala ksbb tayari unakuwa mnyenyekevu na hofu ya MUNGU,ili sasa wakileta elimu iwe rahisi kuwasikiliza.
Ndio wakaleta elimu ya kwao. Ambayo mpaka sasa tunateseka nayo lakini haina msaada wowote kwetu.

FIKIRIA UNABEBESHWA MIDAFTALI ZAIDI YA 10 KUANZIA DARASA LA KWANZA MPAKA FORM 4. UNASOMA MASOMO ZAIDI YA 8. HALAFU UKIFIKA FORM 4 UNAAMBIWA CHAGUA SOMO UTAKOLOSOMEA. UNAJUA MAANA YAO HAPO? KUKUVURUGA USIKUMBUKE TENA UJUZI WAKO WA ASILI. UWE TEGEMEZI KWA ELIMU ISIYOWEZA KUINUA BARA NA TAIFA LAKO.

HIVI UNAJUA WAZUNGU WANGETUACHA NA ELIMU YETU BILA KUTUINGILIA NA KUTUBAGAZA NA ELIMU YAO TUNGEKUWA MBALI SANA KIMAENDELEO.

KWA UCHACHE TU WEWE UNAJITANUA UNA ELIMU KUBWA,HIYO ELIMU YAKO IMEISAIDIA NINI JAMII INAYOKUZUNGUKA? ELIMU YAKO IMEISAIDIA NINI NCHI YAKO KIASI HATA UKIFA LEO TUTAJIVUNIA ULICHOTUACHIA KWA ELIMU YAKO?. ELIMU YAKO KUBWA UMEVUMBUA NINI CHA MAANA KWA BARA LA AFRICA,ZAIDI YA KUWAZA KUJINUFAISHA MWENYEWE?.

NDIO MAANA WAZUNGU WALIWAONDOA HARAKA SANA DUNIA WAAFRICA WALIOKUWA NA FIKRA ZA KUMUELIMISHA MWAFRICA KUJITAMBUA KAMA SANKARA,NKURUMA,LUMUMBA N. K. NA SASA WANAMTAFUTIA GEP IBRAHIM TOURE.

Muhimu tutambue elimu ya wazungu imetuvurugia elimu yetu. Hatimae wamekipata walichokitaka. Waafrica tumebweteka. Mtu elimu kama hiyo unayojifia nayo unaona umemaliza,kumbe ni sawa na 0 kabisa,ksbb hakuna unachosaidia. Zaidi umewasaidia wazungu mawazo yao kutubagaza.
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Weka cv
 
Hongera msomi
 
Cha kushangaza ni kwamba unaweza kuwa na hiyo unayoiita elimu kubwa na wakati huo huo ukashindwa kulinda mgongo wako. Hii Dunia hii! 🙌
Papii🤓
D294E327-DF50-44F6-8F71-897392E9D20A.jpeg
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
So what? Heshima ya mtu haitatokana na umri, elimu, dini au fedha zake, bali huduma anayoitoa na anavyoitoa kwa wanajamii.
 
Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa JF wenye elimu ya juu

Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora Tanzania na duniani kwa ujumla.
Katika dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Watu wanakuonea wivu mkuu, hebu weka cv hapa.
 
Back
Top Bottom