From primary to universityElimu kubwa maana yake nini?
ok.Endapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa jf wenye elimu kubwa
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora tz na duniani kwa ujumla.
Ktk dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Hatukatai mkuu. Ila una hela?! Kama huna hela futa hii sledi pendwaEndapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa jf wenye elimu kubwa
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora tz na duniani kwa ujumla.
Ktk dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Ninayo pesa ya mboga tuHatukatai mkuu. Ila una hela?! Kama huna hela futa hii sledi pendwa
Usome madrasa miaka 20 halafu ufike university? Labda ile ya Morogoro Muslim university.From primary to university
Ninayo pesa yHatukatai mkuu. Ila una hela?! Kama huna hela futa hii sledi pendwa
Nawasaidia sana member wa jfUmeisaidiaje jamii inayokuzunguka?
Ufahamu mdogoElimu kubwa maana yake nini?
Prof Asad amekaa madrasa miaka 30Usome madrasa miaka 20 halafu ufike university? Labda ile ya Morogoro Muslim university.
Kama ni elimu ya madrasa kweli unaweza hata kuwa no 1.
Unaijua University of TumbuktuEndapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa jf wenye elimu ya juu
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora tz na duniani kwa ujumla.
Ktk dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Lakini elimu ya mtaa wee ni kilaza au sioEndapo kila mmoja wetu tukatakiwa kuweka cv hapa, inawezekana nikawa miongoni mwa ktk top 10 wa member wa jf wenye elimu ya juu
Pia nikawa miongoni mwa member waliosoma vyuo (university )bora tz na duniani kwa ujumla.
Ktk dini, nashukuru, nimesoma madrasa zaidi miaka 20 nimekunja goti
Ni hayo tu
Mwanangu una degree ngapi mpaka sasa na hizo degree zako zimekusaidia kununua Bentley au G Wagon?Ninayo pesa ya mboga tu
Kama unamaanisha sawaNinayo pesa y
Nawasaidia sana member wa jf