Inawezekana punyeto (kujichua) ndiyo imenithiri au mimi nina matatizo?

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,071
Reaction score
1,361
Wakuu kwema aisee nina tatizo tatizo kubwa mimi nimeanza punyeto 2014 nilifundishwa na ndugu yangu aisee kuanzia pale nikawa nafurahia huu mchezo mpaka leo

Sasa kuna tatizo limenikuta aisee nikifanyq mapenzi huwa natumia mda mrefu saana na sikojoi kabisa yaani mpaka mpenzi wangu anachoka ila nikipiga punyeto nakojoa..

Maumbile hayajalegea.. noo nafanya mapenzi vizuri ila kukojoa ndo tatizo mpaka nitumia mda mrefu saaana.. naombeni msaada nifanyeje
 
Ni kweli Punyeto inaweza changia hilo. Binafsi ishawahi nitokea. Tena husababishwa zaidi kama mwanamke unaeshiriki nae huna hisia nae. Soma hichi kitabu kwanza kinaweza kukusaidia kwenye hilo.
 

Attachments

Hapo kwenye kufundishana ndio bado nawaza......
 
Unatumia condom ?
 
Bora uchelewe kufika kuliko kuwahiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukikata kumwaga mfikirie mwanamke mwingiine kuvuta hisia.

Hilo sio tatizo mkuu bali ni tatizo la wanawake wengi wa sasa kukosa mvuto wakati wa kufanya mapenzi.
 
Pengine ujaribu kuacha huenda ukarudi ukawa sawa.
 
Bila shaka wadhamini wa tangazo lako ni chaputa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…