Inawezekana Rais Magufuli amesaini ule mkataba wa ushirikiano na mataifa ya Ulaya (EPA)?

Inawezekana Rais Magufuli amesaini ule mkataba wa ushirikiano na mataifa ya Ulaya (EPA)?

Mkuu MkamaP , kama hao maafisa wa EU walishtushwa na kushangazwa na uamuzi huo, ndo ije kuwa mimi? Je ni dalili za “quid pro quo”?
Rais ndiye aliyemwita rais mpya wa EU na kuonyesha kutaka kuusaini mkataba ambao hapo awali alisema ni wa kinyonyaji.

Kwani si wameshawahi kumnukuu Maghufuli akisema anapendelea wachina zaidi?
 
Back
Top Bottom