Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wabunge wengi waliochangia kamati ndogo ya sheria na ajira kuna kubebana sana kwenye SECRETARIAT ya ajira. Wabunge wamesema siku hizi kuna kanda watu wake hawaajiriwi kabisa.

Kuna vimemo vinawataka wabunge watie mkono ili ajira zitoke. Je NEPOTISM inatokea ndani ya secretariat yenyewe ama mfumo ndo unaamua yupi apate ajira.

Mbunge wa Simanjiro bwana Ole Sendeka ameenda mbali sana kwa kutoa taarifa kuwa suala la ajira limegawa nchi katika vipande. Kuna ukanda unapata ajira sana huku wengine wakiishia kwenye usaili tu

Amesema hapo zamani serikali ililiona hilo chini ya Mwalimu Nyerere na kuamua kila mkoa kuwa na pass mark zake ili kuweka usawa katika nchi.

Wengine wamesema serikali iige jinsi majeshi yetu yanavyo ajiri kwani kila wilaya huwa na nafasi zake maalum na hivyo kuwa na uwoano mzuri kwenye ajira zaajeshi japo wamesema askari wengi huingiza watoto wao, ndugu zao na.marafiki zao kwenye ajira hizi.
CCM ni janga, ieleweke hivyo
 
Kama ambavyo ajira za uhamiaji walivyojazwa Wazanzibari. Kuna taarifa za ndani zinasema wanepokea order kwamba 40% wawe wazanzibari
 
Ni kweli kabisa kama watendaji wa kata, vijiji watumishi wengine aisehh wengi ni Wasukuma kabisa... Juzi juzi nilienda home nikakuta ni wao tuuu tena ajira mpya. Mimi nadhani sasa hilo liangaliwe upya serikali ifanye re-allocation kabisa watawanye watawanye ili msawaziko uwepo

Mfano kwenye kazi, yaani huwaambii chochote kumhusu Mwenda zake mpaka nikawa wananitisha ila cha ajabu wana mchukia mama Samia huwezi amini.
Acha ujinga
 
Yale yale ya kipindi cha jiwe watu walikimbilia kununua viwanja chato, sasa hivi tusijebadili majina tuwe wazanzibari
 
usiombe mchagga na muhaya washike nchi au wizara yoyote wanapeana wao kwa wao tu mfano TRA WACHAGGA TUPU na CRDB alikuwa mkurugenzi mchagga aliajiri wachagga tu jpm mwamba akamtoa ndio maana chuki kwa makufuli ni kubwa wanaomtukana wote chaggas
 
Haya makabila yamesoma Sana. Kwahiyo huwezi kutashangaa haya

Kituko kilitokea awamu ya 5 yule jini alipotaka kuwapendelea wasukuma ambao shule wameijua juzi tu

wewe mpumbavu unajua wasukuma wana mikoa mingapi tanzania ? unajua wasukuma ni kabila lenye watu wengi tanzania kuliko kabila lolote? vipi kabila lina watu million 10 ukalinganishe na wachaga laki 9.? vipi kabila kubwa tanzania lenye watu wengi uajiri kwa uwiano na kabila lenye watu wachache?
 
Hapo Ole Sendeka yupo sahihi kabisa
 
Ni kweli kabisa kama watendaji wa kata, vijiji watumishi wengine aisehh wengi ni Wasukuma kabisa... Juzi juzi nilienda home nikakuta ni wao tuuu tena ajira mpya. Mimi nadhani sasa hilo liangaliwe upya serikali ifanye re-allocation kabisa watawanye watawanye ili msawaziko uwepo

Mfano kwenye kazi, yaani huwaambii chochote kumhusu Mwenda zake mpaka nikawa wananitisha ila cha ajabu wana mchukia mama Samia huwezi amini.
Ukabila na udini umerudi kwa kasi sn
 
Wasukuma mkoa gani,? Kama ni huko kwao kwani kuna ubaya wowote,?
 
Ajira zipo ila serikali yetu imeshindwa kuweka mfumo stahiki wa kuajiri na kuishia kutumia fedha za walipa kodi kwa manufaa binafisi, ila maono yangu ni kwamba wasipo liangalia hili, vita itakuwepo ya wenyewe kwa wenyewe, kwasababu elimu zaidi ya elimu ya msingi ni uwekezaji na hakuna anawekeza akitaka hasara.
 
Haya makabila yamesoma Sana. Kwahiyo huwezi kutashangaa haya

Kituko kilitokea awamu ya 5 yule jini alipotaka kuwapendelea wasukuma ambao shule wameijua juzi tu
Uongo mtupu, zama hizi hakuna kabila lisilo na wasomi, watu wameamka wanasoma na kusomesha watoto wao. Tatizo la ajira ni mjuano.
 
wewe mpumbavu unajua wasukuma wana mikoa mingapi tanzania ? unajua wasukuma ni kabila lenye watu wengi tanzania kuliko kabila lolote? vipi kabila lina watu million 10 ukalinganishe na wachaga laki 9.? vipi kabila kubwa tanzania lenye watu wengi uajiri kwa uwiano na kabila lenye watu wachache?
Mungu wenu kafa, hamna lenu tena. Kutesa kwa zamu
 
Back
Top Bottom