Labda wanataka kufanya namna wajomba zetu wapate uraia shehe......Kama ambavyo ajira za uhamiaji walivyojazwa Wazanzibari. Kuna taarifa za ndani zinasema wanepokea order kwamba 40% wawe wazanzibari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanataka kufanya namna wajomba zetu wapate uraia shehe......Kama ambavyo ajira za uhamiaji walivyojazwa Wazanzibari. Kuna taarifa za ndani zinasema wanepokea order kwamba 40% wawe wazanzibari
Peleka umaskini wako huko,unataka uajiriwe crdb wakati umesoma históry?usiombe mchagga na muhaya washike nchi au wizara yoyote wanapeana wao kwa wao tu mfano TRA WACHAGGA TUPU na CRDB alikuwa mkurugenzi mchagga aliajiri wachagga tu jpm mwamba akamtoa ndio maana chuki kwa makufuli ni kubwa wanaomtukana wote chaggas
Wingi Sio hojawewe mpumbavu unajua wasukuma wana mikoa mingapi tanzania ? unajua wasukuma ni kabila lenye watu wengi tanzania kuliko kabila lolote? vipi kabila lina watu million 10 ukalinganishe na wachaga laki 9.? vipi kabila kubwa tanzania lenye watu wengi uajiri kwa uwiano na kabila lenye watu wachache?
Ole Sendeka ni mfaidika wa enzi za Mwalimu alipokuwa anawapendelea Wamasai sasa Ole bado anataka upendeleo huo uendelee tu hata leo! Wamasai mmependelewa mno na sasa mwanze kujitegemea, hayo mambo ya kila mkoa kuwa na pass mark zake ni upuuuuuzi mkubwa!Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wabunge wengi waliochangia kamati ndogo ya sheria na ajira kuna kubebana sana kwenye SECRETARIAT ya ajira. Wabunge wamesema siku hizi kuna kanda watu wake hawaajiriwi kabisa.
Kuna vimemo vinawataka wabunge watie mkono ili ajira zitoke. Je NEPOTISM inatokea ndani ya secretariat yenyewe ama mfumo ndo unaamua yupi apate ajira.
Mbunge wa Simanjiro bwana Ole Sendeka ameenda mbali sana kwa kutoa taarifa kuwa suala la ajira limegawa nchi katika vipande. Kuna ukanda unapata ajira sana huku wengine wakiishia kwenye usaili tu
Amesema hapo zamani serikali ililiona hilo chini ya Mwalimu Nyerere na kuamua kila mkoa kuwa na pass mark zake ili kuweka usawa katika nchi.
Wengine wamesema serikali iige jinsi majeshi yetu yanavyo ajiri kwani kila wilaya huwa na nafasi zake maalum na hivyo kuwa na uwoano mzuri kwenye ajira zaajeshi japo wamesema askari wengi huingiza watoto wao, ndugu zao na.marafiki zao kwenye ajira hizi.
Na mayai ya kwareSuluhu ni kulima matkkiti,kufuga sungura na nyoka tujiajiri