Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

CCM ni janga, ieleweke hivyo
 
Kama ambavyo ajira za uhamiaji walivyojazwa Wazanzibari. Kuna taarifa za ndani zinasema wanepokea order kwamba 40% wawe wazanzibari
 
Acha ujinga
 
Kama ambavyo ajira za uhamiaji walivyojazwa Wazanzibari. Kuna taarifa za ndani zinasema wanepokea order kwamba 40% wawe wazanzibari
Yale yale ya kipindi cha jiwe watu walikimbilia kununua viwanja chato, sasa hivi tusijebadili majina tuwe wazanzibari
 
usiombe mchagga na muhaya washike nchi au wizara yoyote wanapeana wao kwa wao tu mfano TRA WACHAGGA TUPU na CRDB alikuwa mkurugenzi mchagga aliajiri wachagga tu jpm mwamba akamtoa ndio maana chuki kwa makufuli ni kubwa wanaomtukana wote chaggas
 
Haya makabila yamesoma Sana. Kwahiyo huwezi kutashangaa haya

Kituko kilitokea awamu ya 5 yule jini alipotaka kuwapendelea wasukuma ambao shule wameijua juzi tu

wewe mpumbavu unajua wasukuma wana mikoa mingapi tanzania ? unajua wasukuma ni kabila lenye watu wengi tanzania kuliko kabila lolote? vipi kabila lina watu million 10 ukalinganishe na wachaga laki 9.? vipi kabila kubwa tanzania lenye watu wengi uajiri kwa uwiano na kabila lenye watu wachache?
 
Hapo Ole Sendeka yupo sahihi kabisa
 
Ukabila na udini umerudi kwa kasi sn
 
Wasukuma mkoa gani,? Kama ni huko kwao kwani kuna ubaya wowote,?
 
Ajira zipo ila serikali yetu imeshindwa kuweka mfumo stahiki wa kuajiri na kuishia kutumia fedha za walipa kodi kwa manufaa binafisi, ila maono yangu ni kwamba wasipo liangalia hili, vita itakuwepo ya wenyewe kwa wenyewe, kwasababu elimu zaidi ya elimu ya msingi ni uwekezaji na hakuna anawekeza akitaka hasara.
 
Haya makabila yamesoma Sana. Kwahiyo huwezi kutashangaa haya

Kituko kilitokea awamu ya 5 yule jini alipotaka kuwapendelea wasukuma ambao shule wameijua juzi tu
Uongo mtupu, zama hizi hakuna kabila lisilo na wasomi, watu wameamka wanasoma na kusomesha watoto wao. Tatizo la ajira ni mjuano.
 
Mungu wenu kafa, hamna lenu tena. Kutesa kwa zamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…