Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

Kama ambavyo ajira za uhamiaji walivyojazwa Wazanzibari. Kuna taarifa za ndani zinasema wanepokea order kwamba 40% wawe wazanzibari
Labda wanataka kufanya namna wajomba zetu wapate uraia shehe......
 
usiombe mchagga na muhaya washike nchi au wizara yoyote wanapeana wao kwa wao tu mfano TRA WACHAGGA TUPU na CRDB alikuwa mkurugenzi mchagga aliajiri wachagga tu jpm mwamba akamtoa ndio maana chuki kwa makufuli ni kubwa wanaomtukana wote chaggas
Peleka umaskini wako huko,unataka uajiriwe crdb wakati umesoma históry?
Ukienda kozi za biashara,uhasibu vyuoni wengi ni wachaga kwahyo Sio ajabu ukiwakuta banks
 
Wingi Sio hoja
Mbona Kilimanjaro ni kamkoa kadogo Lkn ni mkoa unaoongoza kuwa na shule nyingi za sekondar kuliko mkoa wowote?
 
Ole Sendeka ni mfaidika wa enzi za Mwalimu alipokuwa anawapendelea Wamasai sasa Ole bado anataka upendeleo huo uendelee tu hata leo! Wamasai mmependelewa mno na sasa mwanze kujitegemea, hayo mambo ya kila mkoa kuwa na pass mark zake ni upuuuuuzi mkubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…