Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

Joined
Dec 21, 2022
Posts
66
Reaction score
167
Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai.
Please advice
 
Back
Top Bottom