Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.


Kama baba unaandika ----- huu , kweli ulitegemea wanao wafaulu?
 
Wewe jamaa una uliza au unatoa tathm
ini ya uchunguzi wako.Ficha upumbavu wako kuwa specific kwa kile unachokidhamiria
 
kwani zina tolewa kama! halwa?.....
vitu vingine sio vya kuliza una jionea mwenyewe hali halisi
 
Mkuu hapa hakuna haja ya kuchambua mkoa wala Nchi wala wilaya, Zanzibar ni sehemu tu ya nchi yetu, na wao wako kwenye mkumbo wa matokeo mabovu kabisa ya mwaka huu.
 
Mkuu Simple Mind, asante kwa utambuzi wa shule hizi, nimezitembelea na kushuhudia hadi Div 1. Hivyo nitarekebisha headline na 1st post.
Pasco.
Pasco wakati huu vijana wengi wa Kizenji wanasumbuliwa sana na JUSSA anawashawishi sana na kundi lake la UAMSHO.Hawatuli kusoma vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Elimu ahera, acha kuwabugudhi watu wa ahera!

urojo umefanya kazi yake

Sababu ya kula nyama zilizochinjwa kwa imani za kikafara.
Hata huku bara cheki Temeke Muslimu ni zero tupu.

kwani zina tolewa kama! halwa?.....
vitu vingine sio vya kuliza una jionea mwenyewe hali halisi

Nyie wachangiaji hapo juu, tuache kwanza utani, turudi kwenye hoja za Pasco.

:focus:


Kuna hoja zangu hapo juu Pasco hataki kujibu, badala yake anatoa conclusions za kumwandama Ndalichako. Mazingira ya shule za Zanzibar yakoje? Msisitizo wa elimu kwa vijana ukoje? Kama syllabus inayotumika Zenji ni hiyo hiyo inayotumika Singida na Tukuyu, kwa nini ufaulu uwe wa juu Singida na Tukuyu na si Jambiani ama Wete? Tujadili hilo. Nawasilisha.
 

Mtihani ulikuwa standard kabisa
 

Mkuu Pasco umenifanya nicheke si kwa furaha bali kwa hoja zako tuu...
Wewe ulitataka hayo madudu waloandika wanao wapewe marks???
Katika hili la kufeli hupaswi kumlaumu huyo mama wa Necta hata kidogo....yeye ametunga mitihani kwa kufata kile wanachotakiwa kufundishwa wanafunzi kwa miaka4, na anatoa matokeo sahihi kabisa kwa kile mwanao alichojibu.
Nenda kafanye utafiti ujue kama kweli wanao walikua na mazingira mazuri, walimu wenye viwango na wa kutosha, vitabu vya walimu na wanafunzi, maabara na ujihoji kiundani kama na wewe ulitimiza wajibu wako (kama mzazi)!!! Ukishamaliza utafiti mpelekee kawambwa na mulugo hayo majibu na uwaambie watoto wao wanatakiwa kusoma kwenye hizi shule ili waone adha inayotukuta!
 
Nadhani Pasco kuna unalotaka kulipika hapa. Hali ni mbaya kwa nchi nzima. Ikiwa matokeo mazima yalikuwa na Div 1 alfu na kitu na ukaangalia ratio ya Watanganyika na Wazanzibari (43,000,000:1,500,000), basi usinge andika hiki ulicho andika.

Mimi nadhani sasa ni wakati Zanzibar ikawa na baraza lake la mitihani vile Elimu sio suala la muungano.
 
Pasco naanza kuwa na mashaka na wewe pengine wewe siyo Pasco yule ninayemfahamu (mwandishi).

Watoto wako wamekosa one kwasababu ya uzembe wao mbona wengine wamepata one.
 
Huwa wanawaita watu wa bara machogo lakini naona chogo limeongeza sehemu fulani ya ubongo na hivyo kuongeza uwezo wa kufikiri
 
Wazanzibari wengi ni Mambulula. Kazi yao ni kushinda kucheza bao na kula tende na halua kutoka Oman.Afu wakifeli wanamsingizia Dk. Ndalichako!!!
 

Mkuu Pasco hakuna kitu kama mzanzibari hana akili kama mbara. Watoto wote wanazaliwa na akili sawa sawa according to psychologists, however maendeleo yao yanaathiriwa sana na mazingira wanayokulia. Sababu za kufeli watoto wetu wengi mwaka huu, pamoja na kwamba watu hawataki kukubali ni kuwa zile leakages za mitihani miaka ya nyuma zimezibwa almost zero. Mkuu utakumbuka siku za nyuma tuition zilishamiri sana na walimu waliokuwa wanazifanya walifanya juu chini kuhakikisha kuwa wanafunzi kwenye "tuition" hizo wanafaulu kwa ushirikiano na wakuu wa shule husika pamoja na sisi wazazi ili iwaletee sifa kwamba wao ni walimu "majembe". Hali hiyo ilileta athari zifuatazo, walimu wakawa hawafundishi ipasavyo wakitegemea mbinu hizo. Kazi kubwa aliyofanya Dr. Ndalichako pale baraza ni kuziba mwanya huu ambao hadi leo unampa matatizo kwa kuwa waathirika walikuwa wakipata mamilioni. Mkuu unakumbuka hata baadhi ya wabunge walipeleka hoja bungeni ang'olewe. Ukweli unabaki pale pale kuw ukiona kwenye shule ya mwanao au shule ye yote ile kuna DIV I angalau moja then tatizo si walimu ni wanafunzi wenyewe, maybe kama shule yote ina DIV 0, then hapo kuna tatizo la msingi ambalo ni vema kutafuta chanzo chake.
 
Jee kuna uwezekano matokeo mabaya ya Zanzibar na shule za dini fulani yanahusiana na imfluence ya dini hiyo kwenye akili za waumini?!, au ni imfluence ya Waarabu?!.

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…