Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

Very well said..it's about time tuache kutupa lawama na kuangalia where we stand and what is wrong maana huyu mama anajaribu kila awezalo kufanya elimu irudi katika kiwango chake cha zamani na sio matatizo of what we call elimu ya sasa hivi...Keep it up Dr Ndakichako
 
Kipaumbele kimezingatiwa,, Bara wao wako bise na Elimu Dunia,, kule Visiwani wapo bise na maandalizi ya Elimu Akhera,,

Huku bara watoto jioni wanaenda Tuition kule jioni watoto wanaenda Madrasa,

Kama unataka ujue ukali wa Elimu ya huko shindanisha hizo Div. Kwenye masomo ya Quran uone kama bara watafua,dafu kwa visiwani,,
 
Azania nao wanakwenda madrasa?mbona wapo mkiani
 
Eeee? Kuna nn zenji! Ila wafeli tu,tukitaka kuoa kwao vizingiti kibao na hata uwe na elimu kubwa ya dini mtanganyika bado unaonekana hujasoma kwao na usishangae ukaitwa kafir.
 
Mkuu, wachawi ni wazanzibari wenyewe. Msingi wa elimu ambao ni shule ya msingi wao hutilia mkazo madrasa, watapinga ila ndo ukweli. Hii huwaathiri mpaka form four, form six na vyuoni.
 
Mimi nafikiri hiyo inasababishwa na attitude zao kuhusu elimu - sioni kama suala hilo utilia maanani sana, mbona Wapemba ujitahidi sana kwenye masomo na biashara.
 
Yakheee wale hawahisumbui na Ellim dunia maana haina tija kwao.
Ellim Akhera ndo habari ya mjini.
 
wananchi wakiwa hawana raha na nchi yao kwa kutawaliwa bila ya ridhaa yao inaweza kuwa moja ya sababu. Kwani walimu hawana imani na serikali hivyo wanaenda kupiga tick tu kazini
pia inawezekana wanafunzi hawa wa form 6 ni wakubwa na wengi ni wapiga kura hivyo wameathirika na ubamizaji wa democrasia kwa nchi kuendeshwa tena na watu walo wakataa na waso na dira ya elimu.
pia inawezekana ni dira ya ccm....ukisomesha wengi watakupinga kwani wasomi hawaivi hata siku moja na misimamo ya ccm kwenye muungano na znz yenyewe.
pia inawezekana mfumo mzima wa elimu umepitwa na wakati na walimu hawana uwezo wa kufundisha mfumo mpya wa NECTA
Pia inawezekana walimu wanalipwa kiduchu mno..
Ama kuhusu akili ya kusoma...hilo sio kweli..znz kuna vijana wenye akili sana. ...Mimi sijasoma UD lakini nilikuwapo IFM miaka ya 80s ambapo tulikua bora zaidi ya UD. Mfano wanafunzi wa IFM wa Accounts tulikua ni wepesi kufaulu NBAA kuliko wale wa UD.
hapo IFM tulikua Kutoka Znz 4 darasa moja na Tulichuka na Nafasi zote nne za Kwanza. Pia best Student wa Account alikua Mznz Ambae IFM walimkubali na kumuomba baki pale wakamsomesha zaidi na sasa ni Dr Bakari...Pia mwengine Ni Dr Mohammed ambae sasa ndie head wa Graduate Department IMF.
Hivyo akili wanazo kama wayahudi hasa wale wa Pemba..ila kuna mambo ambayo yanasababisha haya matokeo mabaya
 
Kama kuna mtu ametazama matokeo ya Zanzibar naomba anijulishe kama this time kuna Div 1, II, na III, maana nilipopandisha bandiko hili, matokeo ya mwaka huo, Zanzibar kulikuwa hakuna Div, 1, II wala III, kulikuwa na IV tuu na 0 ndio nyingi Zaidi!.

P.
 
Nimeanza kupata majibu ya swali hili Mwaliko wa Rais wa Tanzania Vatican
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…