Tetesi: Inawezekana Wamarekani wakaandamana kutokana na kilichotokea jana

Tetesi: Inawezekana Wamarekani wakaandamana kutokana na kilichotokea jana

Status
Not open for further replies.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Mimi nipo Swedeni ila kuna jamaa Mtanzania mwenzangu alichukua uraia wa Usa anasema kwa hotuba iliyotolewa jana na Samia.

Kunawezekana kuibuka maandamano makubwa Marekani. Bei ya mafuta kumbe imekuwa kubwa sana kuliko wakati wowote ule toka Dunia iwepo. Na hawakuwa wakijua mpaka Samia alipowashtua jana kuwa wao lita moja wananunua kwa usd 600. Wameshtuka sana.

Safari hii Trump haponi. Hiyo gharama ni kubwa sana. Na hawakuwa wanajua wamekuja ambiwa na Samia Suluhu Hassan. Imagine Serikali yao iliwaficha.

Jamaa wanasema wapo tayari kuja kuhamia Tz na wanapongeza sana Tanzania imepata rahisi makini sana. Anayewajali watu wake.
 
Daaah...kweli mtu hufanana na jina lake!!
 
Nyie vijana wapumbavu kila siku kazi kudandia mada tu
Kaka una moyo kumsafisha huyu anayejiita Rais maana jana nasikia mkaitana kikao kujadil mnatumia dodok.gan kumsafisha huyu bibi

wenzenu akina stroke kwa magufuli hawakuwa na dodok la kumsafisha kwa mambo madogo yanayohitaj iq ya kawaida tu

Ila ninyi mnakaz kila hotuba lazma mje na dodoki

ELIMU YA HAPA NA PALE INAWATIA KITANZINI LMB 7000/=
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom