Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwanamke ambaye alianza siku zake za hedhi 05/03/..akamaliza tarehe 08/03/..,endapo atakutana na mwanaume 26/03/... je anaweza akashika mimba?
Bila tiketi?
[emoji122][emoji122][emoji122]Inategemea na mzunguko wako. Kama mzunguko wako ni mrefu unafika mpaka siku 35 au hauna mapangilio mzuri uwezekano wa kupata mimba upo.
Doktaz naomba majibu ya hii issue ya mkuu TungujaHata niwe na mimba ya mwezi mmoja vipimo havijawahi kuonyesha.