Inawezekana?

Inawezekana?

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
457
Reaction score
339
Kwa mwanamke ambaye alianza siku zake za hedhi 05/03/..akamaliza tarehe 08/03/..,endapo atakutana na mwanaume 26/03/... je anaweza akashika mimba?
 
Kwanini utoe papuchi nyama kwa nyama kwa mtu ambaye huna malengo naye?
Mbona huulizi kuhusu Ukimwi,na magonjwa mengine ya zinaa?
Grow up!!
 
yaani mlipanga ndoa mwezi ujao au wewe ni muke ya mutu
 
Kwanini utoe papuchi nyama kwa nyama kwa mtu ambaye huna malengo naye?
Mbona huulizi kuhusu Ukimwi,na magonjwa mengine ya zinaa?
Grow up!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] yamekujaje hayo?
 
Tulia mama utajua tu baada ya siku chache vipimo vya mkojo tena unapima kimyakimya mbona vingi sana. Kwa nini ujipatie taabu ya akili.
 
Tulia mama utajua tu baada ya siku chache vipimo vya mkojo tena unapima kimyakimya mbona vingi sana. Kwa nini ujipatie taabu ya akili.
Hata niwe na mimba ya mwezi mmoja vipimo havijawahi kuonyesha.
 
Back
Top Bottom