Inawezekanaje huyu celebrity wa "dunia" akawa na wig moja???

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Dada wa taifa, celebrity wa dunia kila habari ya hii dunia lazma anaijua, mamaa muzungu page yake naipitia pitia sana kwakua nami ni mdau wa ubuyu, ila nimejikuta nashtuka kuona tangu enzi na enzi ana wig moja, au ni mengi yenye style moja, au anayo mengi ila anapenda hilo, inawezekanaje star mkubwa hivi awe na kiwig chenye mwonekano kama helmet miaka rudi miaka nenda?

Nimeuliza tu sio kwa ubaya, najua team da mange mmejaa hapa msijekunivagaa kama nyuki, niko chini ya miguu yenu sina nia mbaya nimeuliza tu jamani( ahsanteni kwa kuwa waelewa)
 
Nakumbuka alisema atalivaa mwaka mzima mpaka hapo mtakapoacha kuongea.
 
Mmmh tangu hajakutana na baba kenzo analo kaolewa kazaa kapewa talaka kapata muzungu mpya analo tu kuna haja ya kupitisha mchango!!!
Teh teh..Kumbe kitambo hivyo..Basi itakuwa ni tofauti tofauti
 
Tena akilivaa mwenyewe anajiona kama kabeba dunia,kumbe sura inavyoonekana kama kondoo wa Sufi kule Australia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…