Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #61
Mmmh hahaha nacheka tuAnasemaga eti sio moja hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh hahaha nacheka tuAnasemaga eti sio moja hahaha
Ajikute tu kawa mchina
MmmmhDahh kuna warembo mnamiliki majina mazuri kama wahudumu wa peponi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaa daaaah umenikosea sana mkuuTeam da mange nshaomba radhi lakini sina nia mbaya
Mnisamehe bure msinichambe, mkinichamba ntakufwa
Ninamchukia sana huyu mwanamke.Dada wa taifa, celebrity wa dunia kila habari ya hii dunia lazma anaijua, mamaa muzungu page yake naipitia pitia sana kwakua nami ni mdau wa ubuyu, ila nimejikuta nashtuka kuona tangu enzi na enzi ana wig moja, au ni mengi yenye style moja, au anayo mengi ila anapenda hilo, inawezekanaje star mkubwa hivi awe na kiwig chenye mwonekano kama helmet miaka rudi miaka nenda?
Nimeuliza tu sio kwa ubaya, najua team da mange mmejaa hapa msijekunivagaa kama nyuki, niko chini ya miguu yenu sina nia mbaya nimeuliza tu jamani( ahsanteni kwa kuwa waelewa)
View attachment 1042224View attachment 1042226
Hahaha kakufanya mini Dada wa taifaNinamchukia sana huyu mwanamke.
We mwalimu umeskia mwenzako huko kigoma kahukumiwa kunyongwa mpaka kufa?Team da mange nshaomba radhi lakini sina nia mbaya
Mnafiki sana, ana roho mbaya ,mgombanishi ,malaya aliyeshindikana nk.Hahaha kakufanya mini Dada wa taifa
Nakazia, ana roho mbayaMnafiki sana, ana roho mbaya ,mgombanishi ,malaya aliyeshindikana nk.
Ngoja tu u forward huu uzi huko kwake Instagram tupate majibu yake....Hayo mapenzi ni mazito kwakweli, basi sawa