Inawezekanaje huyu celebrity wa "dunia" akawa na wig moja???

Inawezekanaje huyu celebrity wa "dunia" akawa na wig moja???

Dada wa taifa, celebrity wa dunia kila habari ya hii dunia lazma anaijua, mamaa muzungu page yake naipitia pitia sana kwakua nami ni mdau wa ubuyu, ila nimejikuta nashtuka kuona tangu enzi na enzi ana wig moja, au ni mengi yenye style moja, au anayo mengi ila anapenda hilo, inawezekanaje star mkubwa hivi awe na kiwig chenye mwonekano kama helmet miaka rudi miaka nenda?

Nimeuliza tu sio kwa ubaya, najua team da mange mmejaa hapa msijekunivagaa kama nyuki, niko chini ya miguu yenu sina nia mbaya nimeuliza tu jamani( ahsanteni kwa kuwa waelewa)
View attachment 1042224View attachment 1042226
Ninamchukia sana huyu mwanamke.
 
Back
Top Bottom