Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #41
Hiyo helmet ndo kungekua na mtu kaivaa kiasi hicho angechambwa hadi afeNjaa mbaya sana
Hela adimu mpaka tunakurupukia ndoa ya linda kisa kila siku anang'aa tu hakuna dalili ya talaka