Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #41
Hiyo helmet ndo kungekua na mtu kaivaa kiasi hicho angechambwa hadi afeNjaa mbaya sana
Hela adimu mpaka tunakurupukia ndoa ya linda kisa kila siku anang'aa tu hakuna dalili ya talaka
Zile alizopewa kifunga mdomo Mara hii zimeisha?Alishafuliaga kitambo huyo, imebaki story tu.
Hahaa aiseTena akilivaa mwenyewe anajiona kama kabeba dunia,kumbe sura inavyoonekana kama kondoo wa Sufi kule Australia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh kuna warembo mnamiliki majina mazuri kama wahudumu wa peponi
Ngoja tumjuze tu hakuna namna ili uwe headline wa insta mana unatuletea umbea umu madume ambao swaga zetu za utafutajiNi harakati zake sizijui nimeona wigi tu, we unaezijua uzipost
ππππππ
Watafutaji wapo jukwaa la biashara sio huku kwenye umbea wa mastaaNgoja tumjuze tu hakuna namna ili uwe headline wa insta mana unatuletea umbea umu madume ambao swaga zetu za utafutaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Alishawahi kusifia anapolalwa sio anapolala namnukuu "Mimi nalalwa kwenye nyumba ya dola million moja" ( hiyo ni nyumba ya boyfriend/babufriend)Ajawai kutuonyesha mazingira ya anapoishi huyu atakuwa analalal kwenye Kibanda. Anavyopenda sifa angeshaonyesha kitanda chake kilivyo. Mamtoni life ni nyoko Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
UsiogopeWatafutaji wapo jukwaa la biashara sio huku kwenye umbea wa mastaa
Duuuh...! We ndio umeua kabisa Salt. Si umeona lilivyo dume dume,kuanzia hizo miguu,kurusha mikono,sura vyote dume kabisa. Ukija kwenye vurugu zake zote si za kike. Siwatofautishi sana na yule aliembiwa anajiuza na askari pale air pot
Kasema tutajijuKwani yeye Mange Kasemaje kuhusu hilo?
Mbona alisema siyo wigi ni nywele zake halisiMmmh tangu hajakutana na baba kenzo analo kaolewa kazaa kapewa talaka kapata muzungu mpya analo tu kuna haja ya kupitisha mchango!!!