Wasichana wa Tandale utawajaua , wao wanawaza nywele tu sijui Leo yeboyebo, kesho wigi jekundu ,keshokutwa la bluu , Mange alishasema hawezi kufanya ujinga huo .Halafu mleta mada nilikuwa na kuona mbeya kumbe huna umbea wowote. Alishawahi mwaka Jana kuweka video akionyesha anavyosukwa hiyo weaving na alitaja saloon anayosuka enzi zile anakuja bongo, pia mwisho miezi ya mwishoni mwaka Jana alishonea weaving lile nywele zimefanana na mwanae Kenzo , watu wakamsifu siku 2 tu , akaziondoa akarudia helmet yake...
Anasema ndo style yake ya nywele anaipenda pia shemela wetu anaipenda. Pia ndo staili iliyozoeleka na majirani na hadi shuleni Kwa wanae . Anasema huko kwao ukibadili badili nywele watu wanakushangaa....hahahaha
Ni Mimi Team Mange wa kugalagala
Sent using
Jamii Forums mobile app