Inawezekanaje kuimarisha Maadili katika JAMII Kwa kuondoa Biblia mashuleni?

Ilifutwa Awamu ya nne.

Imagine, unafuta divinity, Kisha zinaruhusiwa asasi na NGO Toka nje wanakuja kufundisha USHOGA mashuleni.

Mapigo juu ya nchi hayatakoma Kwa mtindo huu!!

UBARIKIWE ndugu!!
 
Kwamba mtoto akifunzwa neno la Mungu anapata HOFU,

Vipi kuhusu movies za mazombie wanazoangalia majumbani?

City Owl , Jina lako tu ni Giza tupu, kubali Nuru itokanayo na neno la Mungu upone wewe na uzao wako.

Ubarikiwe ๐Ÿ™
 
Siyo hofu tu, hofu kuu na chuki ndani yake.
Huoni wanaogopa hata kuuliza kuhusu huyo mungu, wanatishwa kuwa wanakufuru. Wanaogopa kuchomwa moto au kupatwa na mabaya, mambo ya dhahania.

Pia, city owl ni jina safi kabisa. Kwa imani zenu potofu ndiyo mkadanganyika kuwa bundi ni ndege mbaya.
 
Ulichoandika,

Ndio Hasa matokeo ya kuondoa BIBLIA mashuleni ukitegemea unaridhisha makundi yote ya wananchi katika JAMII, kumbe ndio tunaelekea gizani.

Nikuhakikishie,

Tanzania soon utarudi katika line, maana Mungu ameichagua.
 
Kaka, upo delusional sana.

Ukweli ni kwamba jamii ya watanzania wengi na waafrika kwa ujumla sasa wanaamka na kuachana na propaganda na hadithi za uongo za dini za wazungu na waarabu kuhusu dini..mabadiliko yaja taratibu lakini ni ya kudumu.
 
Bora umeliona hilo la kutovizungumzia vitabu vingine vya dini maana ni vya hovyo hovyo
 
Tanzania turudi haraka kwenye line sahihi.
 
Watoto wafundishwe BIBLIA mashuleni Ili kudumisha Maadili Kwa vizazi vijavyo.
 
Biblia ni kitabu Cha kuweka mbali na watoto
Ni hatari sana kuwa nacho karibu hasa kama una watoto watundu wa vitabu
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ