Inawezekanaje kutengeneza Dollar milioni 1 kwa mwaka kwenye biashara?

Inawezekanaje kutengeneza Dollar milioni 1 kwa mwaka kwenye biashara?

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s

Kwangu nimeona sio kawaida kwakuwa kupata japo $2000 kwa mwaka kama faida ningumu🤣

Kuna watu ni very smart asee
 
MAWAZO MAZURI SANA HAYA SIO KULUMBANA KUHUSU LISSU,CCM,ISRAEL NA WAVAA KOBAZI
 
Alikwambia mtaji wake ni kiasi gani?

UMeshindwa kutuwekea pia ni aina gani ya biashara.
 
Back
Top Bottom