Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s
Kwangu nimeona sio kawaida kwakuwa kupata japo $2000 kwa mwaka kama faida ningumuš¤£