Hii inawezekanaje Dada zangu?
Majuzi Dada mmoja kaniomba namba. Baada ya kumpa akaanza texts. Mwishowe akauliza kama nina gf. Pamoja na kwamba sina nikasema ndio maana sikutaka mambo mengi.
Naye akasema ananitaka. Nikamwabia haiwezekani maana nina mahusiano. Cha kushangaza eti aniambia eti niwe mchepuko wake. Nikamwambia si nitakuwa namcheat mwenzangu. Eti usijali sina madhara. Anyway nilishangaa kusikia mtu anachagua kuwa mchepuko.