Kuna mdada mzuri mzur nilkuwa namuona kila mara ila nikawa nampotezea ingawaje nilipenda alivyo mpole pole sana,niliogopa pia kuongeza majukumu maana wanawake wa sasa wana gharama sana,siku moja tukakutana mahala fulani pazuri nikampanga akapangika
Nilivyoachana nae nikaanza kuwaza kwanini nimemtongoza maana nimejiletea shida tena za kuombwa ombwa vihela,kuna siku akaniuliza kwenye simu kama nina mke,nilkubali ili anikatae lakin ajabu hakusema hawez kuwa na mimi,hvyo amekuwa mchepuko na yuko na adabu sana,nikiwa kwa mke wangu hanitafuti kabisa na huwa ananisihi sana nimheshimu mke wangu
Ni mwanamke mpambanaji sana,nawaza awe mke wa pili,mimi ni mpagani