Inawezekanaje mtu anataka kuwa mchepuko!

Itakua anaishi kijijini or else mapenzi sio fani yake

Wewe utakuwa mgen wa mapenzi ama sivyo wew ndio wale vijana wa kisabato na kilokole mnaoshindia sale za kadeti na mashati ya vitenge pia muimba kwaya wa vijana-B.

Ama vip wewe utakuwa mtoto bado huyajui mapenzi, kwan suala la kuwa mchepuko nalo ni jipya? Nauhakika huyo mpenz wako sjui demu wako anawashikaji zaid ya4 na yupo ambae anampenda kulko wew, fuatilia hili uone kama hujaja hapa kulialia ukiomba ushauri.

DeepPond mpe mrejesho huyu kijana mzembe
Kwa goto Wewe ni zoazoa mtoto wa mjini
 
😀😀😀😀jamani wanaume ni wachache katika uchache wenu huo kuna mapadre na kuna ma uncle maresh unategemea nini😅

Mbona wamejaa mtaani
 
Hii inawezekanaje Dada zangu?

Majuzi Dada mmoja kaniomba namba. Baada ya kumpa akaanza texts. Mwishowe akauliza kama nina gf. Pamoja na kwamba sina nikasema ndio maana sikutaka mambo mengi.

Naye akasema ananitaka. Nikamwabia haiwezekani maana nina mahusiano. Cha kushangaza eti aniambia eti niwe mchepuko wake. Nikamwambia si nitakuwa namcheat mwenzangu. Eti usijali sina madhara. Anyway nilishangaa kusikia mtu anachagua kuwa mchepuko.
Jichanganye hakunaga demu WA BURE kiasi icho😀😀usije kuturudia unalia Lia hapa,huo ni mtego soon utanaswa.
 
unashauriwa kutumia bange, kukuza akili na kupambanua mambo,
Mambo mengine haya hitaji ushauri.
Ukisha vuta kush, utapata ushauri mzuri wa kufanya binafsi, sio humu Jamii F.

🍁..........kush master...........🍁
 
Wewe utakuwa mgen wa mapenzi ama sivyo wew ndio wale vijana wa kisabato na kilokole mnaoshindia sale za kadeti na mashati ya vitenge pia muimba kwaya wa vijana-B.

Ama vip wewe utakuwa mtoto bado huyajui mapenzi, kwan suala la kuwa mchepuko nalo ni jipya? Nauhakika huyo mpenz wako sjui demu wako anawashikaji zaid ya4 na yupo ambae anampenda kulko wew, fuatilia hili uone kama hujaja hapa kulialia ukiomba ushauri.

DeepPond mpe mrejesho huyu kijana mzembe
Acha kufananisha kadeti na vitu vya kijinga mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii inawezekanaje Dada zangu?

Majuzi Dada mmoja kaniomba namba. Baada ya kumpa akaanza texts. Mwishowe akauliza kama nina gf. Pamoja na kwamba sina nikasema ndio maana sikutaka mambo mengi.

Naye akasema ananitaka. Nikamwabia haiwezekani maana nina mahusiano. Cha kushangaza eti aniambia eti niwe mchepuko wake. Nikamwambia si nitakuwa namcheat mwenzangu. Eti usijali sina madhara. Anyway nilishangaa kusikia mtu anachagua kuwa mchepuko.
Ugumu wa maisha is real
 
kama amekidhi vigezo vyako 😂 pita nae.... kama sivyo basi..... ila ukipita nae kuwa makini, there might be a catch😂
 
Kuna mdada mzuri mzur nilkuwa namuona kila mara ila nikawa nampotezea ingawaje nilipenda alivyo mpole pole sana,niliogopa pia kuongeza majukumu maana wanawake wa sasa wana gharama sana,siku moja tukakutana mahala fulani pazuri nikampanga akapangika

Nilivyoachana nae nikaanza kuwaza kwanini nimemtongoza maana nimejiletea shida tena za kuombwa ombwa vihela,kuna siku akaniuliza kwenye simu kama nina mke,nilkubali ili anikatae lakin ajabu hakusema hawez kuwa na mimi,hvyo amekuwa mchepuko na yuko na adabu sana,nikiwa kwa mke wangu hanitafuti kabisa na huwa ananisihi sana nimheshimu mke wangu

Ni mwanamke mpambanaji sana,nawaza awe mke wa pili,mimi ni mpagani
 
Hii inawezekanaje Dada zangu?

Majuzi Dada mmoja kaniomba namba. Baada ya kumpa akaanza texts. Mwishowe akauliza kama nina gf. Pamoja na kwamba sina nikasema ndio maana sikutaka mambo mengi.

Naye akasema ananitaka. Nikamwabia haiwezekani maana nina mahusiano. Cha kushangaza eti aniambia eti niwe mchepuko wake. Nikamwambia si nitakuwa namcheat mwenzangu. Eti usijali sina madhara. Anyway nilishangaa kusikia mtu anachagua kuwa mchepuko.
Kimsing huyo ashafanya homeworks zake amegundua upo singo na hizo swaga za kuwa na mpenzi anajua kabisaa unadanganya

Siku hizi kuna app za kufuatilia mawasiliano ya mtu🤣

Sheikh hapo hutoki maana mwanamke akitaka lake huwa analipata🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom