Upo sahihi 😂Tatizo lako umekariri
Huwez jua kakupendea nn[emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hautaki kutakwa.Hii inawwzekanaje Dada zangu?
Majuzi Dada mmoja kaniomba namba. Baada ya kumpa akaanza texts. Mwishowe akauliza kama nina gf. Pamoja na kwamba sina nikasema ndio maana sikutaka mambo mengi.
Naye akasema ananitaka. Nikamwabia haiwezekani maana nina mahusiano.
Cha kushangaza eti aniambia eti niwe mchepuko wake. Nikamwambia si nitakuwa namcheat mwenzangu. Eti usijali sina madhara. Anyway nilashangaa kusikia mtu anachagua kuwa mchepuko.
Hiyo kawaida. Issue ni kutaka kuwa sidedishKwa hiyo hautaki kutakwa.
😂hapo sasa.Muulize kivipi hana madhara wakati akikupa utelezi utanogewa
Hii inawezekanaje Dada zangu?
Majuzi Dada mmoja kaniomba namba. Baada ya kumpa akaanza texts. Mwishowe akauliza kama nina gf. Pamoja na kwamba sina nikasema ndio maana sikutaka mambo mengi.
Naye akasema ananitaka. Nikamwabia haiwezekani maana nina mahusiano. Cha kushangaza eti aniambia eti niwe mchepuko wake. Nikamwambia si nitakuwa namcheat mwenzangu. Eti usijali sina madhara. Anyway nilishangaa kusikia mtu anachagua kuwa mchepuko.
Kafail tayariUsishangae sana ila muelewe
Kuna mawili hapo
1. Kuna kitu anataka kuchukua kwako
2. Kuna kitu amekuletea akuache uhangaike macho
Ulale unono
Itakua anaishi kijijini or else mapenzi sio fani yakeWewe utakuwa mgen wa mapenzi ama sivyo wew ndio wale vijana wa kisabato na kilokole mnaoshindia sale za kadeti na mashati ya vitenge pia muimba kwaya wa vijana-B.
Ama vip wewe utakuwa mtoto bado huyajui mapenzi, kwan suala la kuwa mchepuko nalo ni jipya? Nauhakika huyo mpenz wako sjui demu wako anawashikaji zaid ya4 na yupo ambae anampenda kulko wew, fuatilia hili uone kama hujaja hapa kulialia ukiomba ushauri.
DeepPond mpe mrejesho huyu kijana mzembe
It's a noNi bahati sana kama utakuwa umevuka 20 yrs n above.
Sina demu mkuu. Mengine uloandika ni imaginations zako which you are freeWewe utakuwa mgen wa mapenzi ama sivyo wew ndio wale vijana wa kisabato na kilokole mnaoshindia sale za kadeti na mashati ya vitenge pia muimba kwaya wa vijana-B.