Inawezekanaje mtu anataka kuwa mchepuko!

anajua kabisa hauwezi kuwa upo kwenye serious realationship...ndo maana amejiamini hivyo...na hapo kuna kitu anajua atafaidika kutoka kwako sio mjinga huyo...kuwa makini

yangu ni hayo tu[emoji119]
 
Mkuu kama umemwelewa weka Chuma ndani awe mke wa pili,hizi dini achana nazo
 
Usishangae sana ila muelewe
Kuna mawili hapo
1. Kuna kitu anataka kuchukua kwako
2. Kuna kitu amekuletea akuache uhangaike macho

Ulale unono
Mmmmmh. Namba 2. Inaweza kuwa nini? Hicho Kitu.
 
Inawezekana hivyo hivyo
 
Penye miti hapana wajenzi.. mtu anakupenda unamchomoleaje, naanzaje kukataa kwa mfano, mie tena maharage ya mbeya.. akisema NAKUPE mie zamaaani nishamalizia NAKUPENDA PIA 🀣
Nimewahi mkimbia mwanamke geto Kwa wiki zima πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ivi kumbe kuna shida mwanamke akieleza hisia zake kwa mwanaume anae mpenda?, mbona wanaume wao hutongoza na wanakubaliwa bila tatizo,
Labda tu nikushauri kitu kiongozi kama umesema hauna mwanamke basi hiyo ndio nafasi yako kikubwa tu mkapime mjue afya maisha mengine yaendelee,, ila kabla ya hapo fanya kumchunguza tabia zake akikuridhisha ishi nae,, kwanza atakua amekuepusha na mambo mingi eps kuanza kusotea mamsi ambaye atakua anakula pesa zako bure
 
Unampa changudoa namba unadhani wana aibu?
 
Ilikuwaje , simba anamkimbia swala au nungunungu huyo 🀣
Alikuwa hanipi mzuka harafu akajifanya hataki kwenda kwao nikasema naenda job nitarudi baada ya wiki akadhan utani alikula Dola had akasepa mwenyewe
 
hakuna dume linasemaga lina demu mbele ya pisi kali,hilo lako pasi kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…