Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
😀😀😀😀😀Ni msaada tu wa watu wa marekani
Hapo vip!!
Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap?
Hivi mzungu anaweza kuwa na mzingu mwenzake akazaa watoto weusi..hapo itakuwaje.
Nawashauri wanaume weusi jitahidini muwapate watoto wanaofanana na nyie kwa kila kitu hususani rangi..sio unatoka na mtoto,watu wanadhani upo unatembea tembea na mtoto wa jirani.
Furaha gani we chokx,sikia hili ni tatizo na sio furaha kama unavyozani,wanapoteza identify yao.Hayakuhusu, achana na furaha za watu, cha maana wana furaha na Amani.
Pole mkuu, umeshapigwaHapo vip!!
Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap?
Bibi au Nyanya wa
Elimu elimu elimu, nasikitika kwamba licha ya jitihada za kuondoa ujinga hatujafanikiwa hata 50% kama nchiHapo vip!!
Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap?
Hivi mzungu anaweza kuwa na mzingu mwenzake akazaa watoto weusi..hapo itakuwaje.
Nawashauri wanaume weusi jitahidini muwapate watoto wanaofanana na nyie kwa kila kitu hususani rangi..sio unatoka na mtoto,watu wanadhani upo unatembea tembea na mtoto wa jirani.
Mke wake ni mweusi au mweupe?Hapo vip!!

Anha,sawa mkuuHamna kitu kama hiyo.
Nenda kasome genetics vizuri..Hamna kitu kama hiyo.
Kafata rangi ya bibi yake upande wa Mama.Wenyewe wana kamsemo kao ka "Kitanda hakizai haramu".
View attachment 2939784
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni msaada tu wa watu wa marekani