Inawzekana Bongo kuna breed ya fake human beings na breed ya real human beings huku fake wakiwa ndio majorly

Inawzekana Bongo kuna breed ya fake human beings na breed ya real human beings huku fake wakiwa ndio majorly

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Hii ni baada ya kusikiliza kauli za watu fulani kupitia mikutano ya waandishi na zaid baada ya kusikia kauli za watu fulani kule mjengoni siku ya jana.

Ningekuwa na uwezo na mamlaka, hii breed ningeinyunyizia dawa kama nafanya fumigation kuangamiza vimelea vya magonjwa visiendelee kuzaliana.

Utendqji kazi wa fake brain tu ndio unaweza kuruhusu mwanadamu a- behave namna kwa lengo la kulinda au kutetea ugali/kibarua chake lakini kamwe sio mtu mwenye akili halisi ya mwanadamu.

Inasikitisha na kuumiza sana!

Bora waliochagua kuwa wapagani kuliko sisi wanafiki wenye dini.
 
Kwani hujui waliobaki bongo ni ile rejected Tip Tip alivitupa porini, Krimu yote alipeleka amerika huko na utumwani.
 
Ukitaka scientific evidence, angalia makada wa chadema wanavyotukana matusi ya nguoni
 
Hashim Rungwe nae anateuliwa na Mama aende mjengoni sijui ataongea nini? Pilau... Ubwabwa?
 
Ulitaka scientific evidence, angalia makada wa chadema wanavyotukana matusi ya nguoni
Na wale wanaotaka wenzao wapigwe hadi wapumulie mashine na kurudishwa kwao na mitungi ya gesi unawaongelea vipi wewe kenge?
 
Hii ni baada ya kusikiliza kauli za watu fulani kupitia mikutano ya waandishi na zaid baada ya kusikia kauli za watu fulani kule mjengoni siku ya jana.

Ningekuwa na uwezo na mamlaka, hii breed ningeinyunyizia dawa kama nafanya fumigation kuangaza vimelea vya magonjwa visiendelee lkuzaliana
Lord Denning anasema hao fake humans we ndo kaka mkubwa wao. Hili limekaaje?
 
Wengine walitakiwa kuwa ng'ombe ili watusaidie kwenye kitoweo, na pia kutupatia maziwa! Ndiyo hawa eti wamekuja duniani kwa mfano wa binadamu! Hasara kubwa sana hii kwa nchi.
 
Back
Top Bottom