usome uone kuwa wanamuonea Lisu na Mugu atawauaHaya
Katuga hajui sheria. Anameza tuIncitement to imminent lawless action refers to speech that is intended to and likely to cause immediate violence or illegal activity.
A key example is a speaker at a rally urging the crowd to physically attack a specific individual or group right then and there, and the crowd is likely to immediately carry out the violence.
Merely expressing support for violence or making general threats without a call for immediate action does not constitute incitement.
Tutakinukisha, tutafanya uasi ni mambo ya kufikirika na siyo real and imminent to carry out uasi, fujo, kupindua serikali etc etc
Threats made long before an event are not incitement, let alone imminent incitement:
Posting a message on social media a week before a protest with vague threats of violence.
- Brandenburg v. Ohio (1969):
The Supreme Court case established the "Brandenburg test" for incitement. It held that speech advocating illegal conduct is protected under the First Amendment unless it is directed at inciting or producing imminent lawless action and is likely to incite or produce such action.
Example:
If someone posts on social media, "Let's go to the polling station right now and stop people from voting!" and people respond by physically blocking voters, that could be considered incitement to imminent lawless action. However, if someone simply posts about a political rally where violence occurred previously, without calling for violence at the current time, that would likely be protected speech
Umeeleea lakini au umekubali yaishe?Haya
Tulipokuwa wadogo 1970s Uhaini au Mapinduzi yalifanywa na wanajeshi tu hata mwanandondi Idd Amiri ilibidi aingizwe jeshini ili akatumiwe kuipindua SerikaliUmeeleea lakini au umekubali yaishe?
Ndiyo ajifunze kutumia mdomo wake vizuri. Mwenyekiti wenu ANAROPOKA sana. Ukiwa kiongozi uombe Mungu akupe hekima na mshipa wa kuchuja kabla ya kusema.Tulipokuwa wadogo 1970s Uhaini au Mapinduzi yalifanywa na wanajeshi tu hata mwanandondi Idd Amiri ilibidi aingizwe jeshini ili akatumiwe kuipindua Serikali
Dunia ya sasa inatembea na Nguvu ya Ushawishi ya Mtu binafsi asiye na silaha au kikundi cha Watu
Hapo Kenya Gen Z almanusura watende Uhaini
Sidhani kama hata utaelewa πβοΈ
Umeongea kitwana sana πΌNdiyo ajifunze kutumia mdomo wake vizuri. Mwenyekiti wenu ANAROPOKA sana. Ukiwa kiongozi uombe Mungu akupe hekima na mshipa wa kuchuja kabla ya kusema.
Majuto ni mjukuu, tusubiri Mahakama
Kama imekuchukiza basi kula ndimu na malimauUmeongea kitwana sana πΌ
Umejibu kama Hilo jamaa kwenye avatar Yako.Kama imekuchukiza basi kula ndimu na malimau
Nilitaka kujua tu kama ulielewa au ulikubali yaishe?Tulipokuwa wadogo 1970s Uhaini au Mapinduzi yalifanywa na wanajeshi tu hata mwanandondi Idd Amiri ilibidi aingizwe jeshini ili akatumiwe kuipindua Serikali
Dunia ya sasa inatembea na Nguvu ya Ushawishi ya Mtu binafsi asiye na silaha au kikundi cha Watu
Hapo Kenya Gen Z almanusura watende Uhaini
Sidhani kama hata utaelewa πβοΈ
Kama kila mtu atachukizwa na asemalo chizi basi dunia itachosha kuishi!Kama imekuchukiza basi kula ndimu na malimau
Halafu Magufuli akafa kabla ya MwasifigaUmejibu kama Hilo jamaa kwenye avatar Yako.
Ila magufuri akalishughurikia na kuli nyofoa nyota.
Inasemwa jamaa alikuaga mjivuni na mwonevu SANAAAAAA.
Masikitiko π₯ΊHalafu Magufuli akafa kabla ya Mwasifiga
Unataka tu kuhalalisha udhalimu wa serikali dhalimu ya CCM.Tulipokuwa wadogo 1970s Uhaini au Mapinduzi yalifanywa na wanajeshi tu hata mwanandondi Idd Amiri ilibidi aingizwe jeshini ili akatumiwe kuipindua Serikali
Dunia ya sasa inatembea na Nguvu ya Ushawishi ya Mtu binafsi asiye na silaha au kikundi cha Watu
Hapo Kenya Gen Z almanusura watende Uhaini
Sidhani kama hata utaelewa πβοΈ
usome content za post....usilete mabishanoya manzese midizini au kwa MpalangeTulipokuwa wadogo 1970s Uhaini au Mapinduzi yalifanywa na wanajeshi tu hata mwanandondi Idd Amiri ilibidi aingizwe jeshini ili akatumiwe kuipindua Serikali
Dunia ya sasa inatembea na Nguvu ya Ushawishi ya Mtu binafsi asiye na silaha au kikundi cha Watu
Hapo Kenya Gen Z almanusura watende Uhaini
Sidhani kama hata utaelewa πβοΈ
exactlyNilitaka kujua tu kama ulielewa au ulikubali yaishe?
Mapinduzi yatakuja tu usiwe na wasiwasi na hili tupo wengi tunaotaka mabadiriko ila sio wote utawaona kwenye siasa za majukwaani.
Nichukie Kwani mimi ni mzazi wako?Kama imekuchukiza basi kula ndimu na malimau
Mwamba karatibu ushuhuda woteusome content za post....usilete mabishanoya manzese midizini au kwa Mpalange
Kasome Majibishano ya Yesu Kristo na Pontio Pilato utajifunza kitu muhimu maishani πUnataka tu kuhalalisha udhalimu wa serikali dhalimu ya CCM.