WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Mtajuta tu siku moja maana hisia za kidini zinawasumbua kuliko uhalisia wa sheria na maisha ya sasa katika karne hii.Ndiyo ajifunze kutumia mdomo wake vizuri. Mwenyekiti wenu ANAROPOKA sana. Ukiwa kiongozi uombe Mungu akupe hekima na mshipa wa kuchuja kabla ya kusema.
Majuto ni mjukuu, tusubiri Mahakama