Ndiyo ajifunze kutumia mdomo wake vizuri. Mwenyekiti wenu ANAROPOKA sana. Ukiwa kiongozi uombe Mungu akupe hekima na mshipa wa kuchuja kabla ya kusema.
tatizo hujui kitu katika uwanja wa sheria............................ unaongea kama mtoto wa kijiweni. Nilitegema utoe comment on the content of the lgal issues raised!