Incubator zisizotumia umeme

Incubator zisizotumia umeme

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Ninaomba mwenye ujuzi wa kutengeneza incubator Au kitotolesheo mayai cha asili anijuze Tafadhali,aje inbox tuyajenge
 
Ninatengeneza hizi.ila Efficiency ya hizi mashine ni less than 30% achan nazo.
 
Ninaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!
 
Ninahitaji kujua namna ya kuitengeneza
 
Ninaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!
Nachoshauri nikutengenezee ya umeme itakayotumia solar....kidogo itakuwa effecient
 
Ninaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!
Mkuu nielekeze ulipowanunua nami nikapate kujitwalia walau 10 kwa kuanzia.
 
Ameniletea baba mmoja kutoka MBEYA!Yaani huwezi amini toka oktoba 8,mwaka huu hadi leo wanadondosha mayai!Toka nizaliwe sijawahi kutana na hii mbegu!!!
 
Mkuu hao ni kuku wa kienyeji au wa mayai? Kama ni kienyeji nitakufuata pm tuzungumze. Ninauhitaji wa mbegu nzuri ya kienyeji.
 
Ninaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!
Tumia off grid ya Solar PV system kama generator ya umeme. Efficiency ya utotoleshaji ni muhimu kuharakisha kupatikana faida ya mradi wako huo!
 
Back
Top Bottom