Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaomba mwenye ujuzi wa kutengeneza incubator Au kitotolesheo mayai cha asili anijuze Tafadhali,aje inbox tuyajenge
Ninaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!Ninatengeneza hizi.ila Efficiency ya hizi mashine ni less than 30% achan nazo.
Duh hebu funguka zaidi hapaNinaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!
Nachoshauri nikutengenezee ya umeme itakayotumia solar....kidogo itakuwa effecientNinaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!
Mkuu nielekeze ulipowanunua nami nikapate kujitwalia walau 10 kwa kuanzia.Ninaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!
Ameniletea baba mmoja kutoka MBEYA!Yaani huwezi amini toka oktoba 8,mwaka huu hadi leo wanadondosha mayai!Toka nizaliwe sijawahi kutana na hii mbegu!!!Mkuu nielekeze ulipowanunua nami nikapate kujitwalia walau 10 kwa kuanzia.
Mkuu hao ni kuku wa kienyeji au wa mayai? Kama ni kienyeji nitakufuata pm tuzungumze. Ninauhitaji wa mbegu nzuri ya kienyeji.Ameniletea baba mmoja kutoka MBEYA!Yaani huwezi amini toka oktoba 8,mwaka huu hadi leo wanadondosha mayai!Toka nizaliwe sijawahi kutana na hii mbegu!!!
Hawa atamii?Ameniletea baba mmoja kutoka MBEYA!Yaani huwezi amini toka oktoba 8,mwaka huu hadi leo wanadondosha mayai!Toka nizaliwe sijawahi kutana na hii mbegu!!!
Alijaribu mmoja kuatamia nikamzuia,ameendelea kupandwa na kutagaHawa atamii?
Isee waambie tu Jina usitume picha Thank me later!Tuma hata kapicha basi watu wa Mbeya wawatambue
Tumia off grid ya Solar PV system kama generator ya umeme. Efficiency ya utotoleshaji ni muhimu kuharakisha kupatikana faida ya mradi wako huo!Ninaishi sehemu isiyo na umeme ndiyo maana nilitaka nijifunze hiyo kitu!Pia nimepata mbegu ya kuku ambayo bado sijaielewa maana ndani ya siku 80,kuku wawili wametaga mayai 80!
Wewe ni fala na lofa wa mwisho maana yeye kashasema hawajui jinaIsee waambie tu Jina usitume picha Thank me later!
Nakazia mkuu! hivi picha ya kuku wana jf wataifanya nini hadi kuwe na haja ya kumtahadharisha mleta uzi? huyu mtanzania ana roho mbaya kbs.Wewe ni fala na lofa wa mwisho maana yeye kashasema hawajui jina
Muulieni Mshana JrNakazia mkuu! hivi picha ya kuku wana jf wataifanya nini hadi kuwe na haja ya kumtahadharisha mleta uzi? huyu mtanzania ana roho mbaya kbs.