Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Nimesoma kwenye Gazeti kwamba moja kati ya Madai ya Upinzani wa Kenya ni kutaka kuwe na ,,Independence of the Police“ sasa nashindwa kuelewa wanamaanisha nini wanaposema Polisi wasiingiliwe na Wanasiasa?
Nijuavyo mimi Jeshi la Polisi liko chini ya Wizara ambayo inaongozwa na Waziri ktk Chama tawala, sasa unawezaje kutenganisha Polisi na Wanasiasa?
Ningependa kupata ufafanuzi hapo kwa wenye uelewa!
Nijuavyo mimi Jeshi la Polisi liko chini ya Wizara ambayo inaongozwa na Waziri ktk Chama tawala, sasa unawezaje kutenganisha Polisi na Wanasiasa?
Ningependa kupata ufafanuzi hapo kwa wenye uelewa!