INDIA: Kafulila afanya kikao na Balozi Annisa Kapufi Mbega

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2020
Posts
1,070
Reaction score
568
IMG-20240927-WA0203.jpg

Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)

"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"

#SAMIAMITANOTENA
 
Mheshimiwa Kafulila anajitahidi sana na kufanya vyema sana katika kufanya juhudi za kutaka miradi mingi ifanywe kwa ubia kati ya secta ya umma na binafsi ,ili kuipunguzia gharama serikali ya kugharamia kila kitu na kwa fedha nyingi za walipa kodi. Kikubwa aendelee kupewa ushirikiano na kuungwa mkono ili hatimaye kuleta matokeo chanya.
 
Kwakweli huyu kijana anabidii sana na hii PPP itafika mbali sana
 
Kama ni kweli PPP inaweza kuaply hapa Tanzania basi utakuwa mwanzo mzuri kwetu.

Kafulila anabidii sana katika kuifanya PPP kuwa na nguvu na ushawishi miongoni mwetu.

Kafulila airudi nyuma mpaka tuone mwisho wake
 
Public and Private Partnership - PPP ni sera ambayo tunayo Kwa miaka mingi sasa, japo awamu hii ni kama Kiongozi wake amejitahidi kuitangaza sana

Tunayo mifano ya miradi kadhaa iliyofanyika Kwa njia hiyo ya PPP ikiwemo miradi ya Daraja la Mwalimu Nyerere hapo Kigamboni.

Mradi wa bomba la gasi la Songas n.k
 
Yes naona awamu hii ndio imeanza kujulikana
 
Back
Top Bottom