INDIA: Kafulila afanya kikao na Balozi Annisa Kapufi Mbega

INDIA: Kafulila afanya kikao na Balozi Annisa Kapufi Mbega

Mheshimiwa Kafulila anajitahidi sana na kufanya vyema sana katika kufanya juhudi za kutaka miradi mingi ifanywe kwa ubia kati ya secta ya umma na binafsi ,ili kuipunguzia gharama serikali ya kugharamia kila kitu na kwa fedha nyingi za walipa kodi. Kikubwa aendelee kupewa ushirikiano na kuungwa mkono ili hatimaye kuleta matokeo chanya.
Hebu mtuweke list ya hizo miradi ukisaidiana na mwenzako Tlaatlaah wengine sahv tuko bize tunawachangia kodi

Ova
 
Tunahitaji kiwanda cha bajaji, kijengwe Tanzania.
ARV je
 
Bandari, Songas, Daraja la mwalimu Nyerere n.k🐒
Sogea hapa niko hekima Garden mikocheni napiga vitu vyangu
Niko na vimba na mabosi zenu
Njoo tuyajenge 😄

Ova
 
Attachments

  • 20240927_202314.jpg
    20240927_202314.jpg
    391.1 KB · Views: 2
Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"
Kwenye umeme vipi wakati mmesema tuna surplus ya umeme
 
Kafulila apewe Uwaziri

Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)

"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"

#SAMIAMITANOTENA
 
Lucas wewe pia ni hazina kwa Taifa
Mheshimiwa Kafulila anajitahidi sana na kufanya vyema sana katika kufanya juhudi za kutaka miradi mingi ifanywe kwa ubia kati ya secta ya umma na binafsi ,ili kuipunguzia gharama serikali ya kugharamia kila kitu na kwa fedha nyingi za walipa kodi. Kikubwa aendelee kupewa ushirikiano na kuungwa mkono ili hatimaye kuleta matokeo chanya.
 
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)

"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"

#SAMIAMITANOTENA
Badala ya kukutana na wahindi India wawekezaji anaenda India kukutana na mtanzania mwezie balozi wa Tanzania na kupiga picha na Sanamu la Nyerere

Wastage of money wangeongea kwenye simu tu hakukuwa na haja ya yeye Kafulila kwenda India
 
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)

"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"

#SAMIAMITANOTENA
Huyu Bwana ana progress nzuri akaze buti
 
Badala ya kukutana na wahindi India wawekezaji anaenda India kukutana na mtanzania mwezie balozi wa Tanzania

Wastage of money wangeongea kwenye simu tu hakukuwa na haja ya yeye Kafulila kwenda India
Wivu tu bro huu
 
Wivu tu bro huu

Wivu kwa hayo mapicha ya kitalii?

Huo ni utapeli ni sawa na raisi aseme anaenda India kukukutana na wawekezaji halafu anaishia ubalozini kupiga picha ba balozi na sanamu la Nyerere

Ubalozi wa nchi ni sawa tu na uko ardhi ya Tanzania

Kafulila kwenda India alitakiwa kukutana na wawekezaji sio balozi au sanamu la Nyerere

We want value for money kwa safari za viongozi sio picha hizo zs kuweka kwenye album za kitalii

Wizi mtupu wa perdiem za serikali
Hakuna cha maaana alichienda kufanya India kama kaishia tu kuuza sura ya kupiga picha na balozi wa Tanzania India na kupiga picha na Sanamu la Mwalimu Nyerere

Watanzania hatuhitaji picha za album za kitalii kuwa katalii sanamu la Mwalimu Nyerere na katalii ubalozini kupiga picha na balozi

Hivi Kafulila anatuanaje Watanzania kuwa ni wajinga fulani au? Hatuhitaji picha za utalii tunahitaji wawekezaji toka India sio hayo mapicha ya kitalii

Shame on him
 
Kafulia ameajiri watu wachapakazi waziri mitandaoni Habarizake zinasambazwa vizuri sana...
Atagombea ubunge kulekwao kigoma au hukuhuku town??
 
Back
Top Bottom